Kilichomponza Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichomponza Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Sep 22, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni kale kahotuba alikotoa bungeni akiwa kivuli cha mambo ya ndani na Lukuvi akamwambia 'dogo, ama zako ama zangu'
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Na hapo zitakuwa za lukuvi, manake thithimwewe kinaondoka naye akapasue mbao za mibuyu.
   
 3. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  JEURI YAO mbona inafikia mwisho 2015!!! lukuvi na the like joto ya jiwe watakutana nayo sana.
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Hivi yupo?
   
Loading...