Maalim Seif alipokutana na wazanzibari wanadiaspora wanaoishi Uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif alipokutana na wazanzibari wanadiaspora wanaoishi Uingereza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Sep 21, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=3][/h]


  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  Picha kwa hisani ya Ayub Mzee Blog


  Imewekwa na MAPARA at 10:10 PM [​IMG]
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  Kwani ilikuwa maulid?
   
 3. a

  abousalah2 Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha chuki hatutovaa kaniki au rubega kama wamasai sisi tuna utamaduni wetu,
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Utamaduni wetu mbona ni vibwebwe?
   
 5. m

  mkataba Senior Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utamaduni wenu (TANGANYIKA) ndio vibwebwe lakini, kwa Wazanzibari na WAISLAM ni MABUIBUI, SHUNGI NA KILEMBA AU SHUNGI kwa wanawake na KANZU, KOFIA AU KILEMBA NA SHUKA kwa wanaume.
   
 6. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ndevu ndefu na hijabu ni nyingi sana hapa. Hasa ni nafikiri ni Masalia ya Seyid Said Skadi.
   
 7. m

  muchetz JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 496
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Vitu vingine sijui hata tunafikiriaje. Tunamwita J.K Nyerere kama prophet, lakini ukiangalia kwa undani hata utabiri hapo haupo its just simple facts, Tanzania ni Tanganyika+Zanzibar sasa kama unazungumza Zanzibar then hutaacha kuzungumza Unguja na Pemba.... Lets be serious ndoa ya CCM+CUF was simply solving a (according to Nyerere akiwa ana refer hukumu ya mgombea binafsi) political convinience.

  Maalim as a country leader(not political) alitakiwa kukutana na WATANZANIA na sio WAZANZIBARI!!!! Leo huyu ndo anataka tumwamini kuwa kiongozi wa Tanzania!!!! Pathetic!!!!!
   
Loading...