Tume ya katiba mpya monduli lini?

moseskwaslema

Member
May 3, 2012
92
13
Watu wa wilaya ya monduli tunasubiri sana kwa hamu tume ya katiba mpya,au tumechakachuliwa na mzee wetu wa ngarash jamani? tunawasubiri ili tuweze kutoa mawazo/mapendekezo yetu ili tuwe na katiba ambayo ni justice and not reliable to ccm side,otherwise we are finished 2015 here at monduli kwani mzee wa ngarash ni noma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom