M4C, Lema kuiteka Moshi kesho

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Katika muendelezo wa M4C kesho ndani ya moshi manispaa aliyekuwa mbunge wa Arusha MH.GODBLES LEMA atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya railway akishirikiana na mstahk meya wa manispaa ya mosh mh. JAFAR MICHAEL NA UTATANGAZWA MOJA KWA MOJA NA REDIO MOSHI FM KUANZIA SAA NANE MCHANA M4C DAIMA
 
Mo Town ndo mji pekee uliokuwa wa kwanza kuwakataa magamba tangu ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi 1992,
Chama cha mabwepande hakijawahi kufurukuta Moshi.
Nawapenda sana watu wa Moshi kwani walielimika mapema sana na kumkataa huyu mkoloni mweusi.
 
Natumaini kama wamewakataa Magamba basi ni mji ulioendelea kuliko mji wowote hapa Tanzania maana wanaongozwa na Chadema au sio!!!.
Kuongoka ni hiari, lakini kutubu ni lazima.
 
I wish ningezaliwa mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi, yaani sijui ningefanyaje. Ninaupenda ule mkoa na mji wa Moshi ukipita pale ni pasafi huwezi kuamini wanapita watu pale bila kutupa hata chembe ya karatasi na michupa ya maji kama Dar Es Salaam na kwingineko. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees. Babu Mheshimiwa Ndesamburo mpenda maendeleo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Natumaini kama wamewakataa Magamba basi ni mji ulioendelea kuliko mji wowote hapa Tanzania maana wanaongozwa na Chadema au sio!!!.
Kuongoka ni hiari, lakini kutubu ni lazima.

Mkuu BS, nimepita Moshi siku za karibuni sikuamini maana ninayoyasikia hapa na media kuhusu ule mji nilikuwa najua ni propagana da tu kumbe ni kweli. Mji uko fit na watu fit na biashara zao. Vijijini utafikiri ni mjini maana maji na umeme ni safi, shule safi hakuna kukaa chini au chini ya miti. Hospital zipo na dawa. Sasa hapo si kujivunia tu mkuu. Kule kwangu hata mbunge hajawahi kurudi kutekeleza zile ahadi zake. Nimeanza kampeni za kutaka wapiga kura kule wampige chini.
 
I wish ningezaliwa mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi, yaani sijui ningefanyaje. Ninaupenda ule mkoa na mji wa Moshi ukipita pale ni pasafi huwezi kuamini wanapita watu pale bila kutupa hata chembe ya karatasi na michupa ya maji kama Dar Es Salaam na kwingineko. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees. Babu Mheshimiwa Ndesamburo mpenda maendeleo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Sijawahi kukutana na mpuuzi wa aina yako maishani mwangu.Kwenu kuna kasoro gani? nyie ndio mnaosema bora mngezaliwa paka au mbwa Ulaya.Peleka changamoto iliyoifanya Moshi ifike pale kwenu si kudandia na kutamani vya wengine.Bureeeee kabisa wewe!
 
Unatoa mapovu kwa kuwa nimesifiwa wachaga? Na kwa kuwa ndiyo mnafikiri ni CDM? Ni wachapakazi na ndiyo maana nimesema nitafanya jambo ili achaguliwe CDM mbunge kwangu na nitaorganise tour kwa mbunge wa Moshi na atakuwa CDM millele ili nikajifunze. Naendelea kuwa mpuuzi ongeza la lingine. Sawa.
 
Lema ni zawadi tuliyopewa na Mungu ili afanikishe harakati za kuwakomboa watanzania.
 
Naipenda M4C kuliko mke wangu !

Bora umesema mkuu Mnyisanzu maana mimi hapo juu nimesifia tu Moshi kwa maendeo halaji lijamaa ninaniita mpuuzi. Mtu akifanya jambo asifiwe na ninatamani ningezaliwa Moshi always maana ndiko pekee walipoona kuwa SSM imeshindwa kuwaletea maendeleo na walipoamua kuunga mkono CDM maendeleo yapo.
 
Sijawahi kukutana na mpuuzi wa aina yako maishani mwangu.Kwenu kuna kasoro gani? nyie ndio mnaosema bora mngezaliwa paka au mbwa Ulaya.Peleka changamoto iliyoifanya Moshi ifike pale kwenu si kudandia na kutamani vya wengine.Bureeeee kabisa wewe!
You are absolutely a brain dead idiot.
 
Unatoa mapovu kwa kuwa nimesifiwa wachaga? Na kwa kuwa ndiyo mnafikiri ni CDM? Ni wachapakazi na ndiyo maana nimesema nitafanya jambo ili achaguliwe CDM mbunge kwangu na nitaorganise tour kwa mbunge wa Moshi na atakuwa CDM millele ili nikajifunze. Naendelea kuwa mpuuzi ongeza la lingine. Sawa.
Mkuu,mbona nasikia harufu ya kiroba au umeshalegeza koo,manake mida hii hapa kuna baadhi hapa JF wanakuwa hawako sawasawa.Nyoosha lugha tafadhali au ndio umeshajifunza kichaga.
 
Mpaka CcM wajirambe mwaka huu maana wanashikwa kote kote,Magamba sasa anzeni kutafuta hifadhi
 
Mkuu,mbona nasikia harufu ya kiroba au umeshalegeza koo,manake mida hii hapa kuna baadhi hapa JF wanakuwa hawako sawasawa.Nyoosha lugha tafadhali au ndio umeshajifunza kichaga.

Never argue with a ....................... utafanana naye na watu hawataweza kutofautisha!!! Ninawapenda wachaga kwa maendeleo yangu and I wishi wabunge wote wanaotoka mikoa maskini wangeenda kujifunza Kilimanjaro na Arusha. Kama hutaki nenda wewe ukanywe kiroba na gongo. Mimi situmii kilevi, niko kwa keyboard hapa!! Sawa.
 
am very proud kuwa mchaga kwa kuwa magamba ha2yataki kabisa sisi chadema ndo mpango mzima
 
Mpaka CcM wajirambe mwaka huu maana wanashikwa kote kote,Magamba sasa anzeni kutafuta hifadhi

Kuna makala moja nzuri mno iliwahi kuandikwa na Ansbert Ngurumo akielezea hatua mbali mbali ambazo dume la ng'ombe (au nyati) hupitia katika ukuaji wake.

Alisema, kipindi likiwa na nguvu na ubabe huchagua jike lolote kwenye kundi kibabe bila pingamizi lolote. Kadiri linavyozeeka na nguvu kupungua hujikuta ubabe ukipungua na kimbilio pekee la kukidhi haja zake ni kudandia madume menzake japo bila "mafanikio" yoyote yale.

Kadiri uzee unavyozidi na hivyo hata zile nguvu za kukimbizana hupungua au kwisha, hufanya mambo ya aibu zaidi. Hujikunja na kujifanyia "mambo ya aibu" katika kukidhi tamaa zake.

Kwa sasa, CCM imechoka, imezeeka, nguvu zimeiishia, kilichobaki ni chama hiki kujinajisi, tena hadharani, huku kikijitia aibu katika kukidhi tamaa zake mithili ya dume la ng'ombe lililochoka kwa kila hali.

Msaada pekee wa kuyasaidia madume ya aina hii kuondokana na kadhia hizi za aibu ni "kuyachinja", vivyo hivyo tushirikiane kuitokomeza CCM - huo ndio msaada ulio bora zaidi kwa CCM yenyewe, Taifa letu, na vizazi vyetu.
 
Back
Top Bottom