Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Still, I want my President to come and fix things. Head of State is a real job, not just an opportunity to go dress shopping on the public account. The symbolic powers of leadership cannot be...
1 Reactions
2 Replies
918 Views
Nasikisikia tu kuwa kuna mikoa mipya ya Simiyu na Katavi wakati fulani nilisikia Njombe na Geita pia ni mikoa sasa kama kuna mtu ana ramani mpya inayoonyesha mikoa yoote mipya ya Tz na wilaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hii haikai sawa hasa kwa huyu mjamaa (EL) ambaye anadaiwa kuutaka urais kwa udi na uvumba, na anayeripotiwa yuko katika mkakakti kabambe wa kupanga safu yake katika chama chake...
8 Reactions
88 Replies
6K Views
Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Baba wa marehemu anasimulia mtoto wake alikamatwa siku ya sikukuu mosi akipeleka ng'ombe wake malishoni na akiwa na pesa shilingi elfu 80 ambazo shilingi elfu 30 alichangiwa na baba yake. Pesa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anasema chama hicho kimepoteza nguvu kukabili wapinzani, adai Oparesheni Sangara ya Chadema inawatesa. Asema misingi yote ya TANU, ASP imetoweka. Mwanasiasa mkongwe huyo alitoa kauli hiyo...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemlipua Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akidai kuwa hana ubavu wa kupambana na rushwa kwa kuwa chama chake kiliingia madarakani kwa rushwa katika...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Dear Nyerere, tangu ufe mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh Ponda ni IGP, na pia rais anaishi Airport na pia wanasema tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sikiliza radio ujerumani ya kiswahili,utaona kamanda anavyo jizonga zonga. Kamanda ajitetea AUDIO | DW.DE Wananchi pamoja na baba mzazi alie uliwa kijana wake na jeshi la police AUDIO | DW.DE
0 Reactions
0 Replies
929 Views
vijana wa Tanzania kama kweli tunataka mabadiliko lazima tufanye yafuatayo Ø :evil:Kuacha unafiki (let ndio yetu iwe ndio na sio yetu iwe sio) Ø...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
kwa miezi kadhaa sasa ujenzi wa barabara mjini arusha umekuwa ukiendelea kwa kasi .hii ilikuwa ni mbinu ya kushawishi wapiga kura wa arusha mjini kuipigia kura ccm. Matokeo ya jana ya udiwani...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Mwana jamvi yeyote mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya Mh. Lema tafadhali atujuze. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mon, Oct 29th, 20 Tanzania | An international oil and gas exploration company, Beach Petroleum (T) Limited of Australia, has declared that even though there are positive signs of oil in Lake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania: Natural Gas Boom Masks Degradation In Rule Of Law And Social Stability – By Tom Savory And Subiro Mwapinga October 23, 2012 Transition from the Presidency of Jakaya Kikwete is...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Uchaguzi wa madiwani leo ni kuwa Ccm ndio wamepoteza zaidi kwani mpaka sasa wao ndio wamenyanganywa kata nyingi zaidi hadi dakika hii na cdm wanapaswa kupongezwa kwani mpaka sasa wao ndio...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Rais Kikwete kuzindua Ujenzi wa Nyumba za Wahanga wa Maporomoko na Kiwanda cha Tangawizi Mamba Miamba leo Rais Jakaya KiweteRais anatarajiwa kuzindua ujenzi wa nyumba Nane za wahanga wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kuipongeza Chadema kwa kazi kubwa waliyokwisha kuifanya hadi sasa ktk kutoa elimu ya uraia ambayo watawala wa mabavu (CCM) hawataki iwafikie watanzania walio wengi na wanafanya kila njia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Amidst all the confusion after the shooting of 44 protesting miners at Lonmin’s Marikana platinum mine in South Africa, we should not lose sight of the astonishingly simple underlying issues...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika pita pita zangu huko mtaani, nimekutana na watanzania wakilumbana, mmoja alikua hana imani na CDM ati kwa kuwa mgombea mwanza mwaka 2010 (SAID MZEE) ni DARASA LA SABA, hivo hakuwa na imani...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Assume umepewa jukumu la kupanga serikali ya Tanzania 2015 1. Baraza la mawaziri litakuwa na Wizara Ngapi? 2. Je utaendelea kutumia NAIBU WAZIRI? 3. Wizara ya Fedha itaendelea kuwa Fedha na...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…