Hongera sana Chadema kwenye matokeo ya udiwani ...

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Uchaguzi wa madiwani leo ni kuwa Ccm ndio wamepoteza zaidi kwani mpaka sasa wao ndio wamenyanganywa kata nyingi zaidi hadi dakika hii na cdm wanapaswa kupongezwa kwani mpaka sasa wao ndio wamefanikiwa kuongeza idadi ya madiwani kulinganisha na Ccm ambao wamepoteza kata lukuki mpaka muda huu.

Sababu ni kuwa Cdm walikuwa wamepoteza madiwani wawili wa kata za rombo na mvomero na zote wamafanikia kuzirejesha kwenye himaya yao , tena kwa kishindo kikubwa sana na wameongeza za Ccm mpaka sasa kama ifuatavyo,

1.Daraja mbili - Arusha
2. Mlangali - Ludewa
3. Mpwapwa .dodoma
4. Ipole SIkonge

Tlp wamerejesha kata yao ya KIlema kusini VUnjo na Cuf wameongeza kata ya LIwale huko Lindi , na hivyo mpaka sasa inaonyesha kuwa Ccm ndio wamepoteza mpaka matokeo haya ya muda huu , tunasubiri matokeo mengine n ntawaju- baadae
 
Na kwenye maeneo ambayo Ccm wameshinda ni kuwa hawakuweza kushinda kwa kura nyingi kama ilivyokuwa 2010na hiyo ni dalili kuwa kazi inaenda mbele
 
Aluta continue ...shukrani kwenu makamanda wote,sasa naona nchi inarudi mikononi mwa wananchi wenyewe.
 
narudia tena walaaniwe magamba kila watokapo na kila waingiapo. asubuhi na jioni. kiangazi hadi masika. walaaniwe magamba kuanzia utosini hadi kwenye kucha. wakafie mbali.
 
asante kamanda kwa kutupongeza.........kazi ilikuwa si ndogo.......
lakini kazi tuliyotumwa.....tumeimaliza salama........
hongera Preta nami nihongereee
cdm hata tutakakosa hatuhesabu kama tumeshindwa maana ukombozi unaendelea.....
ccm wameachika vibaya lol!
kooote upinzani walikochukua wao wameachika! tena kwa talaka tatu...heheheeeeeee kazi kwao
hadi 2015 watajibeba!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hakuna kukamata burekiiiiiii mpaka paleeeee wanapogagania wanapaitaaaaaaaa ahh,acha wamalizie wao wenyewe
 
Shukrani kwa pongezi,
vilevile kwa yale maeneo ambayo CHADEMA hatujashinda yanahitaji kupelekewa ukombozi wa kifikra waelimishwe waweze kuleta mabadiliko ya kweli.

Hivyo ni lazima M4C iendelee nchi nzima, na ili kufanikisha hili ni wajibu wa kila mmoja wetu kuchangia harakati hizi.

Changia M4C kwa M-Pesa kupitia namba 111333
[h=2]Sasa unaweza kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-Pesa[/h] Hatua za kufuata:

  1. Bonyeza *150# kisha tuma, kwa kutumia simu yako ya mtandao wa Vodacom.
  2. Chagua huduma Na 4, yaani "Lipia bili yako".
  3. Chagua Na.1
  4. Ingiza namba ya Kampuni ambayo ni 111333
  5. Weka Kumbukumbu ya malipo (Ambayo ni namba ya simu ya Mchangiaji)
  6. Weka kiasi (weka kiasi chochote cha fedha upendacho kuichangia CHADEMA)
  7. Weka namba yako ya Siri ya akaunti yako ya M-Pesa.
  8. Bonyeza Na.1 kuthibitisha mchango wako.
Asante sana kwa kuichangia CHADEMA. Hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
Back
Top Bottom