Serikali 2015

falesy

Senior Member
Mar 15, 2006
105
17
Assume umepewa jukumu la kupanga serikali ya Tanzania 2015
1. Baraza la mawaziri litakuwa na Wizara Ngapi?
2. Je utaendelea kutumia NAIBU WAZIRI?
3. Wizara ya Fedha itaendelea kuwa Fedha na Ucchumi au ya uchumi utaiunda upya?
4. Waziri Mkuu atakuwa bado msemaji au mtendaji?

Nadhani wengi akili zimechoka, KARIBUNI BASI
 
Back
Top Bottom