Mwanye cv ya aliye kuwa mgombea mwenza cdm mwaka 2010 amwage hapa

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
Katika pita pita zangu huko mtaani, nimekutana na watanzania wakilumbana, mmoja alikua hana imani na CDM ati kwa kuwa mgombea mwanza mwaka 2010 (SAID MZEE) ni DARASA LA SABA, hivo hakuwa na imani juu ya upeo wake iwapo CDM ingeshika dola, jamaa huyu ameenda mbali na kudai kuwa chama hiki sio makini kama kimeweza msimamisha mtu kama huyu. Mie nime pata mashaka kidogo, naomba YEYOTE MWENYE CV YA HUYU JAMAA AWEKE HAPA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom