Mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya mh. Lema tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya mh. Lema tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kwani nini bana, Oct 29, 2012.

 1. k

  kwani nini bana Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana jamvi yeyote mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya Mh. Lema tafadhali atujuze.
  Natanguliza shukrani.
   
 2. O

  Original JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lema ameshindwa. Mahakama ya CCM unategemea nini?.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hukumu haojasomwa, wala bado haijapangiwa tarehe ya kusoma ingawa kuna tetesi kuwa huenda ikasomwa tarehe za mwishoni mwa mwezi ujao
   
 4. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa nzuri Mpita Njia
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ilikuwa isomwe leo, ila naona kama jaji mkuu hayupo, yuko USA
   
 6. k

  kwani nini bana Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru kwa taarifa mkuu
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi huenda akawa amekwenda Hong Kong kushughulikia kumaliza Kisheria issue ya "Mtoto wa Mkwewe".
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Lol heeeeeh makubwa haya,
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tunaamini haki itaonekana ikitendeka katika maamuzi.
   
 10. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Asante Mpita njia kwa kutujuza manake wengine hata akili haipo kwani tuna hasira sana, basi tu.:confused2:
   
Loading...