Kama tutaendelea kuruhusu hawa waburundi (kina Shehe Ponda) na waarabu (Farid Wa Umasho) kutufarakanisha matokeo yake yatakuja kuwa vurugu na vita kama vya Sierra Leone. Angalia kidogo documentary...
Daftari la wapiga kura na vyombo vya dola vitabebeshwa lawama na labda vinastahili. Lakini katika hili CHADEMA inapaswa kutoa sababu zinazoeleweka zaidi ya visingizio.
Wanachama, wapenzi, na...
Gwaride la kumuaga Shimbo limefanyika leo Mgulani,
JWTZ imempa zawadi ya gari Land Cruiser. Imeniuma lakini sina jinsi. Nakumbuka ana deni na watanzania huyu mtu.
Ngoja tusubiri wakati ufike
Kwa usiri mkubwa huku mvua ikinyesha na ulinzi mkali, watuhumiwa watano ambao walikamatwa Dar es salaam leo wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka ya kuhusika kumuua aliyekuwa kamanda...
Jana hapa katika Soko la Mwaloni, Kirumba Mwanza kulikuwa na gumzo kubwa kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla baada ya kuonekana waraka wa kugawa jiji la Mwanza uliosainiwa na katibu wa...
Kesho Arusha itazinduliwa rasmi na Rais wa JMT JK kuwa Jiji.Sherehe zitakazofanyika kwenye eneo la Mnara wa mwenge,na baadae Rais atazungumza na wananchi w Arusha kwenye uwanja wa mpira wa Sheih...
Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.
Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life...
Naomba kufahamu huyu mhadhiri wa udsm ni mwanachama wa chadema au anamahaba tu na cdm..... Mana midaharo yake,topic zake nyingi ni za kusaidia cdm .... Maoni yangu ni kama anajisafishia njia ya...
Greek magazine editor in court for naming alleged tax evaders
Kostas Vaxevanis at centre of political storm after publishing names of wealthy Greeks alleged to have Swiss bank...
Kama kawaida ya mzee wa kujiamini bungeni leo ametumia msemo wa kiswahili wa ''nguo ya kuazima haifichi uchi'' (kauli ya kwanza) huku akisisitiza kuwa watanzania wameacha lugha ya watwana na...
Yule kada wa ccm hapa arusha musa mkangaa ambaye aliungana na wenzie kupinga ubunge wa Lema sasa anajiandaa tena kwenda mahakamani kupinga udiwani wa bwana prosper msofe ambaye alishinda juzi...
Mbuge wa Viti Maalum (CCM), Sarah Msafiri, amekiri kwenda kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanzania), kufuatilia mkataba wa Kampuni ya M/S Sharrifs Services & General...
Nimepigiwa simu na Mpwa wangu mwenye ambae ana Duka kariakoo, ananiambia siku hizi hawafungui biashara siku ya ijumaa kwa kuwa si siku salama tena kutokana na hatari za kuwepo na maandamano ya...
Kwa kuvunja bodi ya wafanyabiashara wanaoagiza mafuta ni hatua madhubuti ya kupambana na ukosefu wa nishati hii ambao umekua ukitokea nchini mara kwa mara.
akiongea na mwandishi wa habari chanel ten amewaomba waislam kote nchini kusitisha maandamano yao hapo kesho na cuf imechukua jukumu kulifuatilia suala hilo ili wapate dhamana. source. taarifa ya...
Jamani, tunazungumza utumbo mno, toka January hadi disemba. Ushindi wa ccm unatoka na na Mtaji wa majina yaliyo kkwenye daftari la wapiga kura. Leo Kenya wameleta BMI kits 18000' ambazo...
Katika hali ya kushangaza, katibu mkuu wa CCM BW. Wilson Mukama akana matumizi ya rushwa katika kipindi cha This Week In Perspective, kinachorushwa na TBC1 kila ijumaa saa tatu usiku...
Ni ukweli usiopingika kwamba Mwalimu Nyerere ni kiongozi aliyekuwa amebeba matumaini makubwa sana ya watanzania kabla na baada ya kupata uhuru wa Tanganyika na hatimaye Tanzania. Aliweza...
Habari hii imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la Jamhuri
Siku chache baada ya kuibuka mjadala wa kuwapo watoto wengi wa vigogo ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hali kama hiyo imejitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.