Hivi Dr. Kitila Mkumbo ni CHADEMA?

Hivi Dr. Kitila Mkumbo ni CHADEMA?

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Naomba kufahamu huyu mhadhiri wa udsm ni mwanachama wa chadema au anamahaba tu na cdm..... Mana midaharo yake,topic zake nyingi ni za kusaidia cdm .... Maoni yangu ni kama anajisafishia njia ya kugombea ubunge 2015
 
Toa unafiki wako hapa.Kwa taarifa yako Mwigulu ataachia jimbo apende asipende.
 
Awe CDM asiwe CDM haikuhusu, issue hapa ni kuwa ndiye Mbunge wa Iramba Magharibi, na waziri wa Elimu 2015, kikubwa ni kwamba Shelui tutapata mtu mwenye akili timamu wa kutuwakilisha
 
usiulize makofi polisi!ulitegemea ajiunge ccm?!Watu makini wote wanaelekea CDM! Wewe bado ni Gamba?!pole sana.
 
au unataka awe kama injinia manyanya?aje asubiri vyeo vya kiaina ili utetee kama juha
 
Mtoa mada anatakiwa kwenda kuuliza POLISI KAMA WANAUZA ILE KITU YA ARUSHA a.k.a MAJANI ndo aone majibu atakayopatiwa. Hivi anaishi dunia gani mpaka anashindwa kuelewa kuwa wasomi wote wenye akili timamu wanakimbilia CHADEMA.
 
Naomba kufahamu huyu mhadhiri wa udsm ni mwanachama wa chadema au anamahaba tu na cdm..... Mana midaharo yake,topic zake nyingi ni za kusaidia cdm .... Maoni yangu ni kama anajisafishia njia ya kugombea ubunge 2015

Ofcourse mtu yeyote akijenga hoja nzito za kitaifa moja kwa moja wananchi wanamu- associate na CHADEMA na sio CCM.

Kuhusu Kitila kugombea Ubunge naona unataka kumletea msongo wa mawazo mbunge wa Iramba sasa
 
...............Huyo ndio kiboko ya Mwigulu Mchemba ambaye kwa sasa ananuka.......wapiga kura wanasubiri muda tu......
 
vijana wengi wamekuwa wachawi sababu ya kutaka utawala..........
 
Naomba kufahamu huyu mhadhiri wa udsm ni mwanachama wa chadema au anamahaba tu na cdm..... Mana midaharo yake,topic zake nyingi ni za kusaidia cdm .... Maoni yangu ni kama anajisafishia njia ya kugombea ubunge 2015

inaonekana umebalehe jana au leo.Kama hauna taarifa ni afadhali ukaanzia google.Hivi inakuja akilini mtu anayeelewa anachokifanya akauliza swali kama hilo?
 
Dr.Kitila Mkumbo ni Mwanachama hai wa CDM yeye yuko tofauti kidogo na Dr.A.Lwaitama ambaye yeye ni mwanachama mfu wa chama cha mapinduzi.Ila wote ni wajenzi makini wa hoja!
 
Ofcourse mtu yeyote akijenga hoja nzito za kitaifa moja kwa moja wananchi wanamu- associate na CHADEMA na sio CCM.

Kuhusu Kitila kugombea Ubunge naona unataka kumletea msongo wa mawazo mbunge wa Iramba sasa

Akipata j tena msongo wa mawazo atakuwa anatema cheche mbaya zaidi yule.
 
Hata maprofesa walioko ccm wako pale kimwili na kidili dili lakini ukweli ni kwamba ki akili wako chadema. Wanashindwa tu kuzimiliki akili zao zisipige mbizi. Dr Mkumbo is one of my hero.

Unajipa moyo. Huyo hata akigombea udiwani hapati.
 
Hata maprofesa walioko ccm wako pale kimwili na kidili dili lakini ukweli ni kwamba ki akili wako chadema. Wanashindwa tu kuzimiliki akili zao zisipige mbizi. Dr Mkumbo is one of my hero.

Dr. Lwaitama ni mwana CCM MFU
 
Awe CDM asiwe CDM haikuhusu, issue hapa ni kuwa ndiye Mbunge wa Iramba Magharibi, na waziri wa Elimu 2015, kikubwa ni kwamba Shelui tutapata mtu mwenye akili timamu wa kutuwakilisha

CHADEMA bhana....Ndoto hizo!!!!!!!
Enyi hayawani wote wa nyikani, njoni mle, enyi hayawani wote wa mwituni. Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa waliobubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi. [Isaya 56: 9-11]
 
Hata maprofesa walioko ccm wako pale kimwili na kidili dili lakini ukweli ni kwamba ki akili wako chadema. Wanashindwa tu kuzimiliki akili zao zisipige mbizi. Dr Mkumbo is one of my hero.

Acha kuleta hadithi zako za "kusadikika!!!!!". Hivi hao maprofessor walioko CCM wanatoka mkoa gani? Maana CHADEMA ni ya wachagga!!!! Ipo siku mtalitambua hili!!! Ni heri mkoloni arudi kututawala kuliko kutawaliwa na CHADEMA!!!! Utatafuta mahala pa kukimbilia..... Temea mate chini wewe. CHADEMA ni janga la KIMATAIFA.
 
huyo ndo kiboko ya mchemba sijui akikosa ubunge ataendelea kunajisi bendela yetu? Hivi inakuwaje mnafiki kama mgulu na mpanga mipango michafu kama mauaji ya igunga na alumeru halafu ajitie anaipenda sana tz kutwa kujifunga bendera ya taifa letu shingoni?
Huku mipango na matalajio yake ni kuiangamiza nnchi yetu? Mungu yupo atamlipa kulingana na matendo yake ye ajifanye anaipenda sana tz zaid ya mwl kambalage.
 
Back
Top Bottom