Video: Watanzania Tunachezea Amani Yetu na Kuruhusu Wachache Kutufarakanisha Angalia Sierra Leone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Watanzania Tunachezea Amani Yetu na Kuruhusu Wachache Kutufarakanisha Angalia Sierra Leone

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaldinali, Oct 31, 2012.

 1. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama tutaendelea kuruhusu hawa waburundi (kina Shehe Ponda) na waarabu (Farid Wa Umasho) kutufarakanisha matokeo yake yatakuja kuwa vurugu na vita kama vya Sierra Leone. Angalia kidogo documentary hii ambayo hutaweza kuimaliza kwani utaishia katikati kwa ukatili waliofanyiana huko kwao wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Kwa bahati mbaya sana serikali hii dhaifu inaleta udhaifu hata kwenye mambo ya msingi kabisa kama haya ya machafuko ya kidini.


  Africas Civil Wars - Sierra Leone - Documentary - 18+ not for children !! - YouTube
   
 2. Mango833

  Mango833 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 17,798
  Trophy Points: 280
  we mwenyewe wa wapi au pengo wa wapi kama sio mkongo.we pimbi katawaze urudi jamvini
   
 3. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 868
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  umeangalia hiyo link au unakurupuka tu
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kimsingi ponda ndio alihusika na kuamsha vurugu la mwembechai na kisha akakimbilia burundi...

  mkapa akawatuma vijana wa kazi walimfuatilia na kumchopoa kwenye meli ziwa tanzanyika... usiku usiku....

  halafu akarudishwa dar kwa motokade yenye ulinzi kuliko wa raisi...akapigwa mkwala...ndo ikawa mwanzo na mwisho.......

  kasubiri benja kajipumzikia kaja tena kutest zali kwa mr zaaifu......

  mr zaifu, kama kazi inakushinda waachie vijana wa kazi wanajua cha kufanya.....maana hata kwenye familia zetu kuna wazazi wanaruhusu binti zao walio chini ya miaka 18 wakachangamane na vibraza meni....na hata wengine wanatumwa hela..... na kuna wazazi wengine hawataki kusikia kabisa habari hiyo na hata binti akionekana na hela ataulizwa kaipata wapi........
   
 5. a

  afwe JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Do! kazi kwelikweli! Yapasa tuwe waangalifu. Ya kwenye hiyo video yanatisha
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Kuna pros na cons kwenye civil unrest.
  Angalia Rwanda walichinjana na waliposhikishana adabu na kuamua kutulia sasa haaooooooo taratiiibuuuuu wanatuacha majuha ya amani na upole. Binafsi naona inabidi tushikishane adabu ndio Tanzania itasonga mbele.
  Just my thought.
   
 7. a

  afwe JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Ni swala la mtazamo tu na inaeleweka kuwa kunaweza kuwa na faida, but why should we go into that if there are best ways to avoid this?
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Vita vya wenyewe kwa wenyewe vitatusaidia sana bongo. Hata mkibisha ndio ukweli wenyewe
   
 9. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu wewe utakuwa unaishi nje ya nchi lakini unasahau kuwa una ndugu wengi TZ na baadhi yao wanaweza kuwa victim wa rape and murder kwenye hiyo vita! Inaelekea hujasoma kitabu cha The Art of War by Sun Tzu.
   
 10. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenyewe hiyo video nimeangalia nusu nikashindwa kuendelea kuangalia huo unyama.
   
 11. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu you are absilutely right. Mkapa angekuwa Rais sasa hivi haya yangekuwa yameshaisha, amani na utulivu vimerudi na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.
   
 12. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaa kimya mkuu vita visikietu. Wanyaruanda na Warundi hadi leo mioyoni mwao ile picha ya mauaji inawatesa. Wajane kibao, mayatima kibao, wakimbizi wameenea dunia nzima. Ni vizuri hivi vita vikianza wewe ufe ili sisi tuishi vizuri. Be rational mannn

   
 13. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Jamaa kama sio mnyaji-rwanda atakua msela lionel messi!!!!
  I am just joking SHERRIF!!
   
 14. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Huo ni mtizamo ambao una gharama kubwa sana.Jiepushe nao.Imagine mtoto wako ama baba na mama yako na yule umpendae sana akafa kwenye kadhia hizo.
   
 15. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  I like that book so much. Lakini tuchague kati ya maendeleo ama amani upole na ujuha
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wakati wa kampeni za uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi tulikuwa tunaonyeshwa video kama hizo hasa kutoka Rwanda tukiambiwa kuwa vyama vingi vinaleta machafuko. Tulionyeshwa miili ya watu ikizolewa na maji mto Kagera kwenda ziwa Victoria.

  Lakini waliokuwa wanaonyesha hizo video walikuwa wanafanya hivyo kwa faida yao wenyewe. Walikuwa wanawatisha watu ili kulinda maslahi yao. Rwanda walikuwa wanapigana si kwa sababu ya vyama vingi bali ukabila.

  Sasa na wewe leo unakuja na sensational thread ya kidini eti kama tukiendelea kuruhusu sujui akina Ponda na Uamsho tutakuwa na vurugu na vita kama Sierra Leone. Unachojaribu kusema hapa ni kwamba udini ndiyo ulisababisha civil wars Sierra Leone.

  Kwa makusudi kabisa au kwa ujinga wako binafsi, unashindwa kabisa kuelewa kuwa Sierra Leone is ranked as one of the most religiously tolerant nations in the world kupita hata Tanzania. Unashindwa kabisa kuelewa kuwa Sierra Leone watu wanaona bila kuangalia udini. Hawaendekezi udini kama nyie Watanzania mnaopenda kuongelea udini kama nini vile.

  Kwa ujinga wako binafsi basi unadhani kuwa civil wars Sierra Leone vilisababishwa na udini. Nasema huu ni ujinga wako kwa sababu umeshindwa hata kutafuta sababu za vita vya Sierra Leone.

  Eti "tunachezea amani yetu". Unajua maana ya amani wewe?

  Kwa kifupi nenda kasome upya juu ya vita vya Sierra Leone uondoe huo ujinga.
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  You have the worst "thought" ever. Wewe unafikiri tukishakuwa na civil unrest atakayeumia ni nani? Unajuaje kama wewe utakuwa salama? Wafikirie mkeo, watoto na wazazi wako vile watakavyochinjwa kubakwa na kulawitiwa mbele ya macho yako na mwisho wa siku utobolewe macho na kuuawa. Watu ambao hawana experience ya civil war utawaona tu wanaizungumzia kirahisi bila kureason out.
   
 18. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Everybody dies!
  Nikifa damu yangu ita-sacrifice kwa maendeleo ya my beloved country and her folks i.e. ndugu, jamaa na marafiki.
  Get busy living or get busy dying.
   
 19. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
   
 20. A

  ADK JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ndugu sherif kwani we unaishi wapi? Mbona unashabikia sana haya machafuko tuambie una maslai gani humo
   
Loading...