Watuhumiwa wa mauaji ya RPC Barlow wafikishwa Mahakamani leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watuhumiwa wa mauaji ya RPC Barlow wafikishwa Mahakamani leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fred Katulanda, Oct 31, 2012.

 1. Fred Katulanda

  Fred Katulanda Verified User

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
 2. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Fred Katulanda mkubwa naona kama hutupendi members wa JF! Hiyo link inahitaji email na password vya nini sasa mkuu? Uwazi wa JF ni pamoja na kuwa na access ya information pasipokuwa na vizingiti kama hivyo. Au kuna cha zaidi mkubwa???
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Na yule shemeji yetu Mwalimu Doroth je?? kafikishwa mahakamani au yeye kaachiwa?
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa usiri wa nini wakati ni watuhumiwa? tuna haki ya kujua kesi yao inaendeshwaje na wanashtakiwa kwa makosa yapi...wabongo hawajui swala likishafika mahakamani hakuna usiri tena
   
 5. j

  jail JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  aisee swala liko mahakamani hairusiwi kuliongelea.polisi na kesi mahakamani ya yule aliyeua mwangodi,mkenya aliyenda kutubu ishu ya ulimboka,nk
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  shemeji kawekwa reserve for future uses...si unajua katika barlow lazima aingie mwingine.......
   
 7. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Asante kwa kuliona hilo mkuu. Yaani hapa Tanzania mimi sijui wanatumia sheria za wapi.

  Nijuavyo mimi jukumu la kujificha ni la yeye mtuhumiwa na siyo polisi wawafiche
   
 8. Fred Katulanda

  Fred Katulanda Verified User

  #8
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu kulikuwa na taabu kidogo lakini sasa hiyo link inafunguka bila ya shida.
   
 9. R

  Rwiai Member

  #9
  Nov 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tunataka kuona picha zao humu jamvini
   
Loading...