Iwapo viongozi wa nchi hii chini ya utawala wa CCM wanathamini utu, umoja na amani ya nchi yetu na kuthamini mchango wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga umoja na mshikamano...
Habari wanabodi.
kutokana na kutokuwepo kwa umeme nmeshindwa kutafuta maana halisi ya neno mgao kwenye kamusi ya tuki.
sasa yapata saa ya kumi na tatu bila umeme huku kwetu temeke.cjui nini...
Yaani namsikia akihojiwa na ITV swala la Ponda eti anasema Ponda ana haki sababu vurugu zao ni madai ya kiwanja. Inawezekana mimi ndio sifahamu kama yeye Ponda na watu wake ambao kwa sasa...
BAADA ya mapumziko ya miezi takribani mitatu, watunga sheria wamerudi tena bungeni kwa ajili ya kikao chao cha mwisho kwa mwaka huu. Waliondoka Dodoma mwezi Agosti baada ya kufanya vituko vingi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni kwamba Chadema imeendelea kujizolea ushindi mkubwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura katika jimbo la Arumeru Mashariki katika uchaguzi mdogo wa wenyeviti...
Ni dhahiri kwamba watanzania wengi wameanza kuchoshwa na mjadala wa Katiba Mpya, lakini sio kwa sababu wanahisi mjadala huu umepoteza umuhimu, bali wengi wameridhika na Content Ya Mapendekezo...
Dalili mojawapo kubwa ya ulevi hasa wa pombe ni kutumia pombe kama mwarobaini. Yaani pombe inakuwa ni dawa ya kutibu kila kitu, mtu akifiwa analewa, akifurahi analewa, akichoka analewa...
Jamani mliopo TEAM MEMBE mbona hatuoni cheche zenu?
Maasai sasa hivi kila ukifungua magazeti na JF yupo kwa mazuri na mabaya. Hapa Dom jina lake pekee ndilo lazungumzwa
sasa vipi BCM? Mbona...
Nkwazi Mhango
Looking at EddieWhitehair Lo- Wash doling money out for whoever that approaches him, oned see love of the rich to the poor. Again, is this love true or has something else? Since...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepinga uteuzi uliofanywa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Saidi Mwema kwa madai kwamba haukidhi ufa unaoliandama jeshi hilo wa kashfa za...
mwanzoHabarikitaifa
KITAIFA
Na Julius Magodi
Imetumwa Jumapili,Novemba4 2012 saa 8:25 AM
KWA UFUPI
WAPENDEKEZA MAWAZIRI WASIWE WABUNGE, VITI MAALUMU VIFUTWE, URAIS MIAKA 35
WABUNGE...
Hatimaye katibu mkuu wa chadema dr slaa amemteua rasmi mbunge wa jimbo la ubungo JOHN MNYIKA kuwa mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA taifa na kumshusha ndg ERASTO TUMBO KUWA afisa ndani ya...
Nakumbukuka kama wiki mbili zimepita tangu tupate habari kwamba wamekata rufaa juu ya mgomo uliokatishwa na serikali.Walisema wamepata wakili mahiri Mabele Marando.Tujuze vinginevyo hatuwaelewi.
Mara nyingi vijana wengi wapenda siasa huwa na ndoto za kuwa kama mwanasiasa fulani mashuhuri na mwenye heshima mbee ya jamii. Hakuna ubishi kuwa kuwa kuna wanasiasa wenye heshima mbele ya jamii...
Leo gazeti la mwananchi katika ukurasa wa tano, kuna taarifa kwamba BRELA au Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni wamekubaliana na Chama cha Wenye viwanda, Biashara na Kilimo Tz (TCCIA) amabao...
Hii ya tanesco moshi kukata umeme mara kwa mara bila taarifa ni tatizo lenye usumbufu mkubwa sana kwa wakazi wa moshi.Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu kuwepo kwa tatizo hili bila ya maelezo...
RAIS Jakaya Kikwete ameikataa ramani ya awali ya Jiji la Arusha iliyowasilishwa ofisini kwake, baada ya kugundua kuwa haiko kiuhalisia baada ya kujumuisha maeneo ya vijiji vyenye shughuli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.