Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa.
Amesema haki ya kuandamana ni haki ya...
Salaam,
Arusha Mambo itarusha moja kwa moja Kikao cha Bunge kinachoanza leo jijini Dodoma.
Ili kusikiliza bonyeza hapa Arusha Mambo FM - Arusha - Listen Online&
Kutokana na uhaba wa mafuta nchini, Mh Lugola ataka bunge liahirishwe ili lijadili uhaba wa mafuta. naona kama wengi watamuunga mkoo na mnyika anajazia hoja...
People of Misuku in Chitipa District have been cautioned against selling their precious pine trees to foreigners from neighbouring Tanzania who suddenly have found Misuku area as a source of...
Leo ni ijumaa, kazi hazifanyiki kwa amani mjini, watu busy wanafuatialia habari toka vyanzo tofauti. Kariakoo watu wamefunga maduka, baadhi ya watu wamepack magari yao majumbani, wengine...
Mimi nikiwa mmoja wa walipa kodi wa nchi hii nimesikitishwa sana na maamuzi yaliyofanywa na Serikali katika kununua System mpya ya malipo maarufu kama EPICOR.09 na kuiondoa iliyokuwepo, japo kuwa...
Sijafurahishwa na ushindi wa kata 5 kati ya kati 29 halafu bado kuna viongozi wa chama wana pumbazwa na propaganda za ccm kusema wamejitahidi kwa kusimamisha wagombea kote,eti wamejitahidi...
Kuna taarifa kuwa mkuu wa Tanzania Building Agency mkoani Mbeya, hataki kutoa kibali cha ujenzi mkubwa wa chuo cha madaktari wasaidizi jijini Mbeya.
Taarifa zaidi zinadai kuwa mwanzoni chuo hiki...
Usomi wa ngazi mbalimbali si sifa ya mtu kufaa kuwa kiongozi, dunia katika historia yake ina majina lukuki ya baadhi ya viongozi ambao walikuwa wasomi, lakini hatima ya uongozi wao haikutofautiana...
Wakuu
Napendekeza kipindi cha mtu kuwa rais wa nchi yetu kiwe kimoja tu cha miaka mitano tu. Pendekezo hili linatokana na uzoefu tulioupata katika nchi yetu. Uzoefu unaonyesha kuwa nchi yetu...
Hoja yangu
CCM haitangoka kwa kupigiwa vigelegele
Toleo la 266
31 Oct 2012
Historia imeonesha kuwa hakuna utawala uliodumu muda mrefu madarakani ambao uliweza kuondolewa...
Wanabodi;
Kijana mwenzetu Le mutuz amepita kwenye uchaguzi wa jumuiya ya wazazi CCM; nachukua fursa hii kumpa pongezi za dhati kwa kupita kwake; siasa si lelema pamoja na kwamba hakupita kwenye...
"Lakini basi, kwa vyovyote itakavyokuwa, hatuna budi kumchambua kwa kutumia ukweli na si porojo za alinacha. Wapo wasomi waliowahi kuonya kwamba ingawa kila mtu ana uhuru wa kuwa na maoni yake...
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka serikali kuchukua hatua za haraka za kuwatafutia
makazi wakazi zaidi ya 2,500 wa Kata ya Hananasif, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es...
Kwa ujumla:
CCM - Kata 23
CHADEMA - Kata 5
TLP - Kata 1
Matokeo rasmi daraja mbili:
CHADEMA - 2,047
CCM - 1,214
Matokeo Kamali ya udiwani kata ya Ipole Sikonge!
CHADEMA - 577.
CCM - 373.
CUF...
Aliyekua mbunge wa Arusha mjini na mjumbe wa kamati kuu CHADEMA mh.GODBLESS LEMA ATAZINDUA OPERESHENI YA M4C WILAYANI BUNDA AMBAYO ITAENDELEA KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA HYO KUANZIA...
HABARI
Posted Thursday, November 1 2012 at 21:57
IN SUMMARY
BUNGE LAJIANDAA KUWACHUKULIA HATUA KALI
Julius Magodi, Dodoma
BUNGE limeandaa kanuni za maadili ili kuwadhibiti wabunge...
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mpinduzi (CCM), kutojiingiza katika mkumbo wa kukichafua chama katika uchaguzi wake.
Dk. Bilal alitoa rai hiyo...
Chama cha mapinduzi kinatafakari jinsi ya kutumia mwanya wa vuguvugu la maandamano ya mbagala kama silaha ya kukichonganisha cdm na nguvu ya umma,inasemekana agenda itakayoandaliwa ni ileile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.