Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF ni matumaini mmeamka salama, Leo hoja mnaonaje muundo wa uongozi wa juu wa CCM ulivyo. Angalia wana Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Zanzibar na Makamu mwenyekiti Bara. Hivyo, wamejikuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FRIDAY, NOVEMBER 16, 2012 Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Method Kilaini Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa mkoa wa Mara uligubikwa na mizengwe mingi kiasi kwamba ikaonekana Jina la Vicenti lilitumika kumdhoofisha Makongoro. Kilichojitokeza ni wapinzani wa Makongoro...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikwete akisema sasa namuamini, Matukio yafuatayo ingawa yalitikisa Nchi, lakini yalikuwa upepo tu na yamepita. 1. Waligoma waalimu na madaktari, watu wakafa wanafunzi wakakosa masomo, hata bila...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwanza ningependa kumshukuru mungu muumba kunipa nafasi hii ya kuandika waraka huu kwenu ndugu zangu. Namuomba anielekeze fikra nilizonazo zitoke kama ninavyokusudia kutoka kichwani kwangu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RIP mheshimiwa diwani na Mungu alaze roho ya marehemu mahala pema peponi! Diwani kutoka Kiteto kwa tiketi ya CCM amefariki katika hospitali teule ya jiji la Arusha inayoitwa St Elizabeth Hosp...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kutangaza safu mpya ya wajumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, wasomi, wanasiasa na viongozi wa dini wameponda uteuzi huo wakisema chama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna jambo nilisilo lielewa hasa ninapokutana na tambo kama hizi: "Tumejenga barabara...tumejenga shule...tumejenga hospitali...tumejenga vyuo vikuu nk nk" Ninajiuliza je hayo siyo majukumu ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Watanzania tumeona jinsi spika Anna Makinda ambavyo amekuwa akizima hoja zenye umuhimu katika taifa letu. Tumejifunza mengi kuhusu madaraka ya spika kipindi hiki cha Anna Makinda. Definitely...
1 Reactions
2 Replies
981 Views
Profesa Abdul Shariff,Mwenyekiti wa Baraza la Katiba Zanzibar , akitowa mada ju ya mchakato wa kuchangia maoni ya Katiba Mpya ya Tanzania, kuhusu mfumo wa Serekali mbili za Jamuhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
15 NOVEMBER 2012 Na Agnes mwaijega UTEKELEZAJI wa sera zinazotungwa katika nchi yoyote ulimwenguni yanategemea usimamizi wa serikali unaozingatia sera na sheria. Ni wazi kwamba kama serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilimsikia Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akisema (Chadema) hakina hazina ya viongozi kama iliyonayo Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alitamba kwamba CCM inaweza kusimamisha...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
16/11/2012 1 Comment Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
ndugu wana jf..... kama mtanzania mwenye nia safi na nchi yetu na mdau wa maendeleo nimekuwa nikifuatulia kwa karibu chaguzi za CCM zilizokuwa zikifanyika kule dodoma....... na kusikia tambo za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania suala la kutunga katiba mpya ni jambo la msingi sana. Jambo la kwanza la kuangalia majukumu ya Rais kwa ujumla katika katiba hii iliyopo ni makubwa sana. Mfano wa kuteua wakuu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuanzia jana hadi leo asubuhi vyombo vingi vya habari vimejitokeza na kauli ya Rais Kikwete kuwa yeye hawezi kutawala kwa visasi! Lakini ukweli ni kuwa suala zima la utawala wa kuchaguana kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Posted Novemba17 2012 saa 9:12 AMKwa ufupi MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilali, amesema yeye siyo miongoni mwa vigogo wa Serikali wanaodaiwa kuficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
katika mdahalo wa leo usiku uliokuwa unaendeshwa na kituo cha TV cha ITV kilichokuwa na mada ya NINI TUMEJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, badala ya WANACUF kujadili mada ikizingatiwa kuna...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama mlivyosikia bunge lililopita tumewasha moto bungeni juu ya ardhi na wabunge wa CCM wametuunga mkono, sasa tunasubiri bunge la mwezi wa nne, mwakani kisipoeleweka kaeni mkao wa kula kutwaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi wengi (80%) ni maskini wa kutupwa ndani ya nchi yetu. Cha ajabu 99% ya viongozi wa CCM ni matajiri!!! Miaka ya nyuma CCM kilijitambulisha kama chama cha wanyonge (wakulima na wafanyakazi)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…