Msifurahie kupiga mabomu,msifurahie kukamata watu ovyo na kuwasweka ndani,at the end inaweza kuwa cost maana tayari sie tumeoleana,tunaishi pamoja kunywa pamoja na mengine mengi kwa pamoja. Ki...
Leo mnamo saa tano na nusu ya asubuhi, katika ratiba ya siku ya leo lilikuwepo tangazo la spika wa bunge kuwataka wabunge kwenda kwenye ukumbi wa msekwa, ambako huko kutakuwa na semina kuhusu...
WanaJamiiForums,
Kuna mjadala ulioanzishwa kwenye tovuti ya 'Tanzania Country Level Knowledge Network' kuhusu hali ya usafishaji wa miji yetu ya Tanzania. Mnasemaje? Ili kushiriki, Google 'Clknet...
Janana leo nilibahatika kupanda train ya TRC kutoka Tabata Matumbi hadi Posta ambayo ilinichua dakika 30 kufika Posta.
Ninawapongeza watanzania kwa kujitokeza kwawingi kupanda train na pia Mh...
Nasema nimwaka mbaya kwa kambi ya upinzani katika bunge kwani kitendo cha ccm kuwasimamisha wabunge wanawake kuwania Uspika ni ishara ya kudhoofisha upinzani Bungeni!kwa kulinda maslahi ya wakubwa...
Ccm wanajua kabisa kwamba nguvu ya uma ni kubwa kuliko wanasababu ya kusherekea ushindi walioupata sababu waliamini wanaweza kuambulia hata viti vitano kuyaona mapungufu yetu kati yetu na...
Katika kikaocha Bunge kinachokuja, suala la mafao ya pensheni lipewe kipau mbele na iwekigezo cha kuwatema wabunge wote ambao hawataunga mkono wala kuteteawafanyakazi wapewe mafao yao wakati...
Foleni ya Mafuta kule Marekani zilijitokeza Mara ya Mwisho 1970 hiii imejirudia kutokana na kimbunga kwa hiyo tusishangae hapa Tanzania uhaba wa mafuta uliosababishwa na hujuma ya wafanya biashara...
News Updates: Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali pingamizi dhidi ya rufaa ya Lema, kesi ya msingi itaendelea
Pingamizi lililowekwa na upande wa wajibu rufani kupitia Wakili wao Alute Mughwai...
Kiongozi mpendwa wa Chama chetu cha Mapindizi Mh N. Nhauye Jr juzi alitoa uzi kuelezea mambo ambayo wapinzani wanapaswa kujifunza kutokana na uchaguzi wa US. Mimi naamini hata sisi kama Chama...
Wanajamvi
TBC1 siyo ile ya kipindi cha TIdo MHANDO baada ya ccm kumfitini Mhando sasa tunashighudia Chombo cha habari cha taifa kimeshindwa kabisa kurusha matangazo katika ubora inavyostaili...
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm...
Katika mjadala wa bunge wa hoja binafsi unaoendelea muda huu, Mh. Wassira ameanza kwa kusema utanzania wake haupimwi kwa kuunga mkono hoja binafsi iliyotolewa na Mh. Halima Mdee bungeni. Mdee...
mengi yanazidi kufichuka. sasa zamu ya radio call kupatikana.
Sheilla Sezzy, Mwanza
POLISI mkoani hapa wamefanikiwa kuipata simu ya upepo ‘radio call' iliyokuwa ikitumiwa na aliyekuwa...
Written by SIPITWI // 08/11/2012 // Makala/Tahariri // 4 Comments
Kwa hakika, Zanzibar imekumbwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kwa mfululizo wa wiki tatu sasa. Ingawa hii ni...
ATHENS A former Greek culture minister, several employees of the Finance Ministry and a number of business leaders are on a list of more than 2,000 Greeks said to have accounts in a Swiss...
Huyu bwana mkubwa Warioba tokea kuchaguliwa kuwa Chairman of the Constitutional Review Commission anajiona kama bado ni Waziri Mkuu. Serikali ya ZNZ na ya Tanganyika washakubaliana juu ya mafuta...
Pingamizi lililoyowekwa na upande wa wajibu rufani kupitia Wakili wao Alute Mughwai ili rufaa ya Lema kupinga kuvuliwa ubunge isisikilizwe limetupiliwa mbali na Mahakama ya Rufaa baada ya...
Ndio ipo wazi wamarekani wanaipenda nchi yao na wanaijenga.
Ndo maana watu wanataka kwenda kule maana kuna haki, na maendeleo.
Sasa kama sisi Watanzania tunapewa madaraka halafu tunaihujumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.