Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Raisi wa Marekani anashirikiana na wapinzani, anakubali kuwa wana mawazo constructive
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kuwa kauli iliyotolewa na mbunge wa sgd mashariki tundu lissu kuwa anakusudia kumshtaki rais bungeni ni yake binafsi na kwamba chama makini kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sioni sababu ya kuwepo kwa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu,huo ni upotezaji wa muda ambao ungetumika kujadili mambo mengine ya msingi Kipindi hiki cha maswali kwa waziri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
na Waandishi wetu HALI tete imetanda kwa baadhi ya watumishi wa umma, kutokana na sintofahamu inayoendelea kuhusiana na mishahara yao ya Oktoba pamoja na posho za askari Magereza mikoani. Ikiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa China Hu Jintao amefungua rasmi kongamano la chama tawala ambalo linaanza mfumo mpya wa utawala ambapo watamchagua kiongozi mara moja katika kipindi cha miaka kumi Pia ametoa onyo kali kwa...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
WATU wa kada mbalimbali, wamejitokeza kupinga pendekezo la baadhi ya wabunge wakiongozwa na Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini, la kutaka Katiba Mpya iruhusu umri wa kugombea Urais upunguzwe kutoka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazee hao wanadhani Raisi hasikilizwi an watendaji wake
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mh Joshua Nassari na Mh John Mnyika, kwa nyakati tofauti wameujulisha umma kupitia akaunti zao za mtandao wa Kijamii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi ni Hospital ambayo kama ingetumiwa sawasawa ingeweza kutoa huduma bora na nzuri sana kwa wakazi wa Kigamboni lakini kinachoendelea pale ni balaa na ni aibu kusikia, na haya mambo ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
  • Poll Poll
*Esther Bulaya ni mbunge wa kike, kijana kwa tiketi ya CCM viti maalum, watu wengi wamepata kumzungumzia uwezo wake wa kisiasa humu JF mara kadhaa. Ameonekana Bungeni na mara kadhaa kwenye...
0 Reactions
157 Replies
21K Views
Ili siasa yetu iwe kweli ya kidemocrasia na haki, isiyo na fujo za kila aina, ningependekeza tufute bendela za vyama. Wote tutumie bendela moja ya TAIFA tu. Hii itatuweka pamoja pasipokujua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wabunge wetu baadhi yao wamekuwa wazembe kwa kutohudhuria vikao vinavyoendelea Dodoma. Bunge limekuwa wazi na viti vikionekana wazi hii ina maana wanajiwakilisha wao wenyewe na si wananchi,wengi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Je kama Tanzania ingekuwa pure democracy ambayo inamruhusu mtu yeyote mwenye miaka 30 au zaidi kugombea urais na mshindi akawa Yule mwenye kura nyingi na sifa nzuri kuliko watanzania wengine wote...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wana JF nimeona ni-share na nyie comment hii ambayo imetoka kwa mpiga kura toka Republican.. Kilichonifurahisha ni pale alipoweka uzalendo mbele.. Mnapokuwa na uchaguzi wa huru na haki kwanini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini amesema migogoro ya kidini inachochewa na Serikali kupuuza utaratibu wa kukutana na viongozi wa dini kama ilivyokuwa awamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Politics has been called a dirty game in generations, on my view i found politics is the best way of organizing activities of mankind. See people in their profile how they hate politics this let...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Kwako Mheshimiwa Rais wa Moyoni wa Watanzania Ni hivi karibuni tu kumeibuka malalamiko kutoka miongoni mwa wanachama wako kuwa kuna mgogoro na tatizo la uongozi katika jimbo la Morogoro...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
‎Mwenyekiti wa CCM taifa is very funny...nimemuona kwenye news leo akiwa anakemea rushwa kwenye chaguzi za chama chake huku anacheka...na mara wajumbe wote wanacheka kwenye ule mkutano wa...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanabodi, Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi...
0 Reactions
100 Replies
9K Views
Ndugu wana JF naleta kwenu hapa jamvini kero yangu kubwa nlonayo pengine naweza kupata mawazo ya kunifariji kidogo. Ndugu zangu Mbunge wangu simwoni jimboni wala bungeni simsikii kabisa sasa sijui...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom