Kwa sasa nimelewa kwanini Kikwete alipoulizwa kwanini Tz ni masikini alisema hajui hata yeye sababu ni nini. Nimemwelewa kwa mtazamo wangu na kwa mtazamo wangu nimeelewa pia kwanini sisi Tanzania...
Katka bunge la leo sikutarajia kuona baadhi ya wabunge wa ccm ni waoga kiasi kile,Jana jion walionekana wa hali ya uchungu na nchi hii leo wamerudi nyuma,hv hata ww kwa akili yako ya kawaida...
Wasalaam wana-JF!
Matukio ya uibwaji kura na uongezwaji wa kura zisizokuwemo kwenye masanduku ya kupigia kura, pamoja na mambo mengine, nionavyo mimi, husababishwa na kule kuhamisha kutoka...
Mahakama yatupa pingamizi za CCM
na Happiness Katabazi
MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania, imekataa kuifuta rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema...
Wakati CCM ikijiandaa kuanza kwa vikao vyake, hali ndani ya Umoja wake wa vijana UVCCM inaelekea kuwa mbaya baada ya Mwenyekiti mpya wa umoja huo, Sadifa, kufika Dar na kuachana na ulinzi wa Green...
Wote tumesikia bunge lilivyo waka moto katika siku hizi mbili juu ya hoja ya zitto kabwe fedha za uswisi.wote tumesikia michango wa wabunge kina kagi luoga,mpina,sendeka,zitto,werema na wengineo...
Wanajamvi,nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wananchi kuchoshwa na tabia ya baadhi ya wabunge wa JMT Wanaoshabikia vyama vyao badala ya kutetea maslahi ya taifa.Nitumie mchango wa Lugola...
MBUNGE wa Singida Mashariki Tundu Lissu (CHADEMA), ambaye pia ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, amesema anakusudia kuleta hoja binafsi bungeni kumshitaki Rais Jakaya Kikwete kwa madai...
Maadili ni kama kingo za mto na binadamu ni mto. Unaweza kufikiri madhara ya mto unapofurika na kingo zake kuharibika au uhai wa mto pasipo kingo Ni nini madhara yake.
Ni dhahiri kabisa...
Wanajamvi,
Kwenda marekani kumtakia mgombea mafanikio toka magogoni si matumizi mabaya ya kodi zetu. Rais si angepiga simu, taifa gani Afrika lilifanya alichofanya. Wanajamvi angemtumia kadi...
Ludewa ipo katika mkoa mpya wa Njombe, kisiasa wilaya hii ni ngome ya kuu ya CCM, kwani katika madiwani 32 wanaounda Halmashauri ni Diwani moja tuu anayetoka upinzani naye ni kwa tiketi ya TLP...
WABUNGE WAGAWANYIKA,MBOWE AOKOA JAHAZI.
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemlipua hadharani Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akidai ni miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu ambao wametajwa...
Wed Nov 30, 2011 7:08am GMT
* Augusta Energy to supply 540,000 tonnes of oil
* Govt hopes bulk oil procurement will lower prices
DAR ES SALAAM Nov 30 (Reuters) - Tanzania has awarded a $500...
Binafsi sijaridhishwa kabisa na kitendo cha Zitto Kabwe kushindwa kuyataja majina ya watuhumiwa wa ukwapuzi na utunzaji wa pesa ya umma huko ughaibuni.
Kushindwa kuyataja majina hayo anayodai...
Kuzimisha mitambo ya Television au Radio kwa makusudi ili Wananchi wasisikie na kuona yale yanayoendelea Bungeni ambayo ni haki yao kama tulivyokubaliana ni ufisadi mkubwa unaotupaka matope Bunge...
Mh.Joseph Selasini mbunge wa Rombo hameoji serikali haioni kunaaja sasa baadhi ya shule za kata kuwa veta,kutokana na vijana wengi kumaliza kidato cha nne na tano na kushindwa kuendelea na elimu...
SIASA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akijadiliana jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe walipotoka kuhudhuria kikao cha bunge, mjini Dodoma jana...
Wana janvi
Tuliambiwa kuwa maamuzi ya pingamizi ya rufaa ya Lema yangetolewa leo na mpaka sasa janvi halijajulishwa nini kinaendelea. Naomba wenye taarifa watujuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.