CUF watafanikiwa kwa mtindo huu wa matusi?

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
1,516
Reaction score
136
katika mdahalo wa leo usiku uliokuwa unaendeshwa na kituo cha TV cha ITV kilichokuwa na mada ya NINI TUMEJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, badala ya WANACUF kujadili mada ikizingatiwa kuna mapungufu mengi ya kimfumo tulionao ambayo tunaamini tangu 1995 yamewaweka hata wao katika wakati mbaya wameelekeza nguvu za vijembe kwa DR SLAA
CHADEMA
MARA KANISA mara kuna mtu alitoka kanisani akaja kugombea mara mgombea mwenza akaokotwa msikitini
swali langu kwenu CUF ambao sasa inaonekana midahalo ya TV ndio kimbilio lenu ni je
hoja mliobaki nayo ni hii ya udini? tu na kuamni kikwazo chenu ni DR slaa na sio CCM? na hamuoni kama mnajidhihirisha kuwa nyie ni wanandoa wa CCM ?
maana hapa kuna rushwa
kugawa chumvi,khanga, kutumia polisi na usalama kuiba matokeo
mbona wenje hajawasema? na alikuwepo? ameisema ccm tu wapi inakosea?
CUF mbona mnapotea saana
 
WENJE amewaeleza CUF tuzungumzie issues! na sio personalities
 
Hao CUF ni kidumu cha CCM,ndio maana sasahivi nguvu zao zote ni kwa CHSDEMA na si BWANA wao CCMizi wala POLICCM,Waendelee kutumiwa tu mwisho wa siku wataishia kuporomosha matusi tu wakati waki papaswa.
 
CUF ni msumari wa chuma ukiichezea itakula kwako. Hujasikia kama imezaliwa upya kama 1995, jana katika mkutano wake imejivunia wanachama 92 na kuna Mangw'engw'e ya ADC yanataka kumvua nguo uwanjani boss wao HR! Fuatilia habari usiwe kasuku.
 
wewe Cuf huiwezi kama unadhani utaichafua kwa kwa kupayuka rudi kwa mganga wako,na ushindwe!
 
CUF ni sawa na mwanamke anayetafita talaka
 
kwani cuf bado ipo? si "walisharidhiana" na ccm tangu mwaka 2010 then kikafa kifo cha kawaida!
 
Mimi ningemshauri Pro. Lipumba; imwtosha sasa, watanzania wameshakukataa. 1995 chali, 2000 chali, 2005 chali, 2010 chali mbaya, sasa nini tena? Kama kweli CUF wanataka angalau 2015 waambulie kidogo ya kura ni afadahali prof akakaa kando. Kama ilivyo CCM, CUF haiwezi kujibadilisha.

Mimi nilisikiliza sana malumbano ya hoja jana na ni kana kwamba CUF walikusanyana humo, na cha ajabu ni kuwa wameifanya CDM kama chama tawala, VIJEMBE VYOTE NI KWA Dr Slaa na CDM. Hiyo mbinu itawaangusha. Leo hii watu hawana wakati wa kuzungumzia sifa za mtu wala ubaya wa mtu, wanatamani kusikia CUF itawafanyia nini watanzania. Msipoteze muda CDM hamuiwezi, imeshafika mbali sana.
 
wewe ndio usiyeyaelewa mafanikio ya cuf.kimsingi cuf imefabnikiwa kwa kiasi kikubba katika kudumisha uhusiano wake na ccm na hata kuitunza ndoa yao cghnga huko zanzibar.zaidi pia wameweza kujiondoa kabisa katika siasa za ushindani.kama hujui hayo ndio mafanikio ya cuf.
 
Angalia aina ya watu wanaojaza mikutano ya CUF, hoja zinazozungumzwa na aina ya viongozi (Wanaoita kesi ya kuvunja na kuiba ni ya madai) halafu utajua CUF ni hopeless case.

Makabwela wa Buguruni
 
CUF ni msumari wa chuma ukiichezea itakula kwako. Hujasikia kama imezaliwa upya kama 1995, jana katika mkutano wake imejivunia wanachama 92 na kuna Mangw'engw'e ya ADC yanataka kumvua nguo uwanjani boss wao HR! Fuatilia habari usiwe kasuku.

"Kushindwa kwetu Uzini hakunishangazi, mimi nilitegemea hili. Uzini inakaliwa na Wakristo wengi kutoka bara" By Ismail Jussa
 
Mie ningependa vyama vingind kAma cuf vifutwe maana havina tija kwa taifa...
 
katika mdahalo wa leo usiku uliokuwa unaendeshwa na kituo cha TV cha ITV kilichokuwa na mada ya NINI TUMEJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, badala ya WANACUF kujadili mada ikizingatiwa kuna mapungufu mengi ya kimfumo tulionao ambayo tunaamini tangu 1995 yamewaweka hata wao katika wakati mbaya wameelekeza nguvu za vijembe kwa DR SLAA
CHADEMA
MARA KANISA mara kuna mtu alitoka kanisani akaja kugombea mara mgombea mwenza akaokotwa msikitini
swali langu kwenu CUF ambao sasa inaonekana midahalo ya TV ndio kimbilio lenu ni je
hoja mliobaki nayo ni hii ya udini? tu na kuamni kikwazo chenu ni DR slaa na sio CCM? na hamuoni kama mnajidhihirisha kuwa nyie ni wanandoa wa CCM ?
maana hapa kuna rushwa
kugawa chumvi,khanga, kutumia polisi na usalama kuiba matokeo
mbona wenje hajawasema? na alikuwepo? ameisema ccm tu wapi inakosea?
CUF mbona mnapotea saana

Mambo ya ndani ya ndoa huwa hayatolewi nje ndugu yangu.
 
Sikubahatika kuangalia hiyo programme lakini ni kweli ni jambo la kusikitisha CUF imepoteza kabisa mwelekeo huku Tanganyika!
 
wewe ndio usiyeyaelewa mafanikio ya cuf.kimsingi cuf imefabnikiwa kwa kiasi kikubba katika kudumisha uhusiano wake na ccm na hata kuitunza ndoa yao cghnga huko zanzibar.zaidi pia wameweza kujiondoa kabisa katika siasa za ushindani.kama hujui hayo ndio mafanikio ya cuf.
mwambieni basi hata mtatiro au prof atusaidie kupata tuition ya kuandika tusidhalilishe chama chetu sasa hii aina gani ya uandishi
 
CUF ni msumari wa chuma ukiichezea itakula kwako. Hujasikia kama imezaliwa upya kama 1995, jana katika mkutano wake imejivunia wanachama 92 na kuna Mangw'engw'e ya ADC yanataka kumvua nguo uwanjani boss wao HR! Fuatilia habari usiwe kasuku.

uamsho vipi kaka?
 
napendekeza CHADEMA ifutwe kwa sababu ni chama cha KIDINI kinavunja UMOJA WA TAIFA.
hahahahaha bwana CUF NGANGARI unataka nichekesha hapa..kati ya cuf na chadema nani mdini? jibu liko wazi chadema sio wadini ila wanazushiwa wadini ili wasiweze ishinda ccm... hamkumbuki kipindi kile cuf ipo single and nt married mlivyozushiwa na hao hao ccm? cuf mie siwaelewi kabisa lengo lenu ni kuua chadema ama kuondoa ccm madarakani kama chama pinzani??
 
A woman is free when she is single,bt once married is no longer free. Let her be loyal to her husband and talk what she is allowed to talk. Heri kuwa wawili kuliko pekeyako,kwani ukianguka mwenzio atakuskusaia/kunyanyua pia adui akikuvamia mwezio atashirikiana nawe kumshinda? Sasa CDM mnashangaa nini wanandoa kusaidiana ktk mapambano haya ya kutokomeza ufisadi,wizi na ubakaji huu wa siasa?
 
Back
Top Bottom