Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF,kwa muda sasa spika wa Bunge la Tanzania, mama Makinda amekuwa akiipiga danadana ripoti ya Ngwilizi kuwasilishwa bungeni! Ni ripoti muhimu ambayo imetumia pesa nyingi za walipa kodi ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SISI NI WAJINGA, WAZUNGU wanajifanya werevu na wenye akili nyingi kutuzidi lakini ukweli ni kwamba sisi tunaakili zaidi ya wazungu, wanzungu wanaakili za kukalili, kuhukumu nakutuweka kwenye...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Kwa habari nilizozipata ni kuwa kuna mpango wa kuiyumbisha rufaa ya Lema kiasi cha kutokuwepo majibu ya busara hivyo kusababisha Lema kushindwa kesi. Hii itampelekea Lema kuchukua uamuzi wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jana raisi jakaya kikwete amesindua rasmi jiji la arusha baada ya usinduzi rais alikwenda mojakwamoja katka uwanja stadimu ilikuwautubia wanamchi baada ya wajeni mbalimbali akiwemo rais kuingia...
2 Reactions
82 Replies
10K Views
Nimeshtushwa na gazeti moja la kila siku (Tanzania Daima la Agosti 7, 2012) lililonilisha maneno katika kichwa chake cha habari: "Shivji, Lwaitama Wataka Muungano uvunjwe." Siwezi nikamsemea Dk...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna watu wengi sana akiwemo Mkurugenzi wa Uenezi wa CUF Julius Mtatiro wamekuwa wakihubiri muunganiko au ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kuweza kuiondoa CCM madarakani. Mathalan, katika...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tuwe na uhalisia katika kuona na kutambua mambo tunayopaswa kuyaiga toka uchaguzi wa Marekani. Kupewa haki sawa za upigaji wa kampeni na fursa sawa, hii ni kusema wale wanaogombea wanapaswa kuwepo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam, Arusha Mambo inarusha moja kwa moja Kikao cha Bunge kinachoendelea Jijini Dodoma ambapo leo hoja binafsi nne kati ya nane zitawasilishwa, kila mtoa hoja atapewa muda wa nusu saa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo hii watu dunia inasherehekea ushindi wa Obama na tayali mpinzani wake Romney amekubali matokeo kwamba yeye ameshindwa. Lakini ukiangalia uchaguzi wa wenzetu, haukuwa na vitisho kama hapa...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Natamani sana ungekuwa Rais wa Nchi hii sijui kama inawezekana, Kikubwa ninachotamani ni kukuona ukiingia Bungeni na kupambana na wanasiasa uchwara Ni mtu mwenye uzalendo wa kweli, Unajitolea...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
viongozi na wanachama wa ccm nawashauri msome kwa makini hoja na mawazo ya watu kuhusiana na thread alioianzisha Nape leo kufuatia ushindi wa Obama. Mkubali kukosolewa na mna mengi ya kujifinza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Maalim Seif Ambiwa Hana Mpya Tena na Vijana wa Kizanzibar watakao Uhuru kamili sio Serekali 3 kama Cuf wasemavyo Bonyeza Vidio 1 Kamati ya Maridhiano Six: Mkutano wa CUF Uliofanyika K/Maiti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata fursa ya kuisoma mara kadhaa sasa stori iliyoandikwa na Sitta Tumma kule FikraPevu kisha ikawekwa hapa Jukwaani. Ni wazi Mahakama ya Tanzania kupitia Hakimu Mfawidhi Angelo inaalika au...
15 Reactions
57 Replies
5K Views
Kitendo cha mbunge wa Siha Mh. Mwanri ambaye ni Naibu Waziri wa TAMISEMI kujibu maswali bungeni kwa hasira pale anapoulizwa maswali ya kutetea maslahi ya wanyonge kweli ni haki? Na huongea kwa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo amesema kuwa kazi rasmi aliyopewa na Kikwete ni Kuusambaratisha Upinzani! Kauli hii kweli ina mantiki? Nijuavyo mimi role ya Jumuia hii ni...
4 Reactions
102 Replies
8K Views
Binafsi sioni mantiki ya kipindi hiki zaidi ya kupoteza muda wa kujadili mambo muhimu yanayo likabili taifa kwa sasa. Kwasababu maswali yenyewe yanakuwa tayari anaye ulizwa amesha yaona au kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Magazeti mengi ya leo yamesema Spika wa bunge la Tanzania amesema bunge halimtambui makamu wa pili wa rais Zanzibar. Vipi kuhusu makamu wa kwanza naye anatambulika ktk bunge hili la Jamhuri...
0 Reactions
119 Replies
11K Views
kuna mabadiliko ya tarehe ya kusikilizwa kwa kesi ya rufaa ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini mh Godblees Lema, ambayo kwa sasa imehamishiwa kwenye...
6 Reactions
95 Replies
7K Views
Habari nilizozipata muda mfupi uliopita ni kuwa madiwani wa kata za Kirumba,Nyakato,Nyamanoro na mwingine wa kata ambayo sikuipata wamewekwa ndani ingawa kisa hakijulikani lakini ni mwendelezo wa...
3 Reactions
105 Replies
9K Views
Naanza kuwa na wasiwasi juu ya hatua inayochukuliwa na CUF baada ya Prof, Ibrahim Lipumba kuweza kuwashawishi WAISLAMU WENYE MSIMAMO NA ITIKADI KALI ZA KIDINI! Ili wasiandamane na badala yake...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Back
Top Bottom