Jk na wanaccm kizazi cha chifu mangunga!


kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
2,641
Points
2,000
kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
2,641 2,000
ndugu wana jf.....

kama mtanzania mwenye nia safi na nchi yetu na mdau wa maendeleo nimekuwa nikifuatulia kwa karibu chaguzi za CCM zilizokuwa zikifanyika kule dodoma.......

na kusikia tambo za mawaziri eg john magufuli na ujenzi wa barabara......

wachilia mbali ujenzi wa kigamboni bridge na mambo mengine...

nikajaribu kutofautisha mashangilio yale ya wanachama na majilio ya wazungu kwa watemi wetu, wakija na vipande vya nguo, wakiondoka na dhahabu, almasi na meno ya tembo...eg.

nikakumbuka usemi wa wazungu kwetu kuwa ukitaka kumficha mweuzi, weka kitabuni....

nikamkumbuka yule mwandishi wa zambia denis mwape?? aliyechambwa na mzungu anayetumikia briton institutes kwamba sie wa ngozi nyeusi tuna matatizo makubwa kifikra...na ZAIDI ZADI WATANZANIA......ntarudia kauli yake, TANZANIANS ARE ONLY ITERESTED IN OUTPUTS.....ARE NOT INTERESTED IN STATISTICS....they want to see roads, hospitals, schools....they actual do not equate e.g. (madeni kiasi gani, what is done in exchange, how do we pay) hivyo kuendelea kutengeneza mazingira ya kunyonywa zaidi na zaidi.......

nadhani watu wenye akili katika taifa hili hata kama tunavaa mashati ya kijani na suruali nyeusi tujiulize....

1. who pays for the project? je tunalipaje? eg daraja la kigamboni...

2.are the costs of projects fairly prized? e.g. inawezekana kabisa kuwa thamani ya ujenzi wa barabara mabweni na vitu vingine imekuwa exagerated?

ongezea..............

unless otherwise, Tanzania might fail to enjoy her efforts as to her expectation in the future.....

opposition, do the audit please!
 
Zakumi

Zakumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2008
Messages
4,849
Points
1,500
Zakumi

Zakumi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2008
4,849 1,500
Kwani output sio statistics?
 
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
4,559
Points
1,195
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
4,559 1,195
Kwani output sio statistics?
Siyo Statistics kwa sababu chukua barabara ya lami inayopita kwenye kijiji chenye shida ya maji barabara hata ya flyover haIna maana kwa mwana kijiji huyo. Mfano wa pili uchumi unakuwa kwa asli mia 7 wakati watu wanakula mlo mmoja, na asili mia hiyo ni kutokana na mapato ya madini yasiyonufaisha nchi. Deni la nchi linapaa kila nukta na halipiki.

Kanuni iko hivi

1. Sera >>2.Mkakati>>3.programs za utekelezaji >>>4. rasilimali za kutekelezea (Inputs)>>> 5.mchakato(processes)>>>6.matokea(outputs)>>>7.madhira(impacts)

Njia Mkato ya CCM kwa Tanzania

1. Hakuna sera ya kitaifa>>2. Mkakati (ufisadi kwa kwenda mbele)>>>3. programa (kubaki madarakani)>>>4. rasilimai (mikopo yakuongeza deni la taifa na fedha za wachangiaji wa mifuko ya jamii)>>>5. Mchakato (unachukua kasi wakati wa uchaguzi kama rushwa kwa wapiga kura)>>>6. Matokea (Hatakidhi mahitaji)>>> 7. Madhira (Kudumaa maendeleo, kuongezeka kwa deni la taifa)

KIDUMU CCM KUWA KIGUMU
 

Forum statistics

Threads 1,296,012
Members 498,494
Posts 31,230,605
Top