FRIDAY, NOVEMBER 16, 2012
Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Bukoba, Method Kilaini
Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya...
Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa mkoa wa Mara uligubikwa na mizengwe mingi kiasi kwamba ikaonekana Jina la Vicenti lilitumika kumdhoofisha Makongoro. Kilichojitokeza ni wapinzani wa Makongoro...
Kikwete akisema sasa namuamini, Matukio yafuatayo ingawa yalitikisa Nchi, lakini yalikuwa upepo tu na yamepita.
1. Waligoma waalimu na madaktari, watu wakafa wanafunzi wakakosa masomo, hata bila...
Kwanza ningependa kumshukuru mungu muumba kunipa nafasi hii ya kuandika waraka huu kwenu ndugu zangu. Namuomba anielekeze fikra nilizonazo zitoke kama ninavyokusudia kutoka kichwani kwangu na...
RIP mheshimiwa diwani na Mungu alaze roho ya marehemu mahala pema peponi!
Diwani kutoka Kiteto kwa tiketi ya CCM amefariki katika hospitali teule ya jiji la Arusha inayoitwa St Elizabeth Hosp...
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kutangaza safu mpya ya wajumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, wasomi, wanasiasa na viongozi wa dini wameponda uteuzi huo wakisema chama...
Kuna jambo nilisilo lielewa hasa ninapokutana na tambo kama hizi: "Tumejenga barabara...tumejenga shule...tumejenga hospitali...tumejenga vyuo vikuu nk nk" Ninajiuliza je hayo siyo majukumu ya...
Watanzania tumeona jinsi spika Anna Makinda ambavyo amekuwa akizima hoja zenye umuhimu katika taifa letu. Tumejifunza mengi kuhusu madaraka ya spika kipindi hiki cha Anna Makinda. Definitely...
Profesa Abdul Shariff,Mwenyekiti wa Baraza la Katiba Zanzibar , akitowa mada ju ya mchakato wa kuchangia maoni ya Katiba Mpya ya Tanzania, kuhusu mfumo wa Serekali mbili za Jamuhuri ya Muungano wa...
15 NOVEMBER 2012
Na Agnes mwaijega
UTEKELEZAJI wa sera zinazotungwa katika nchi yoyote ulimwenguni yanategemea usimamizi wa serikali unaozingatia sera na sheria.
Ni wazi kwamba kama serikali...
Nilimsikia Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akisema (Chadema) hakina hazina ya viongozi kama iliyonayo Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alitamba kwamba CCM inaweza kusimamisha...
16/11/2012
1 Comment
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara...
ndugu wana jf.....
kama mtanzania mwenye nia safi na nchi yetu na mdau wa maendeleo nimekuwa nikifuatulia kwa karibu chaguzi za CCM zilizokuwa zikifanyika kule dodoma.......
na kusikia tambo za...
Watanzania suala la kutunga katiba mpya ni jambo la msingi sana.
Jambo la kwanza la kuangalia majukumu ya Rais kwa ujumla katika katiba hii iliyopo ni makubwa sana. Mfano wa kuteua wakuu wa...
Kuanzia jana hadi leo asubuhi vyombo vingi vya habari vimejitokeza na kauli ya Rais Kikwete kuwa yeye hawezi kutawala kwa visasi! Lakini ukweli ni kuwa suala zima la utawala wa kuchaguana kwa...
Posted Novemba17 2012 saa 9:12 AMKwa ufupi
MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilali, amesema yeye siyo miongoni mwa vigogo wa Serikali wanaodaiwa kuficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi...
katika mdahalo wa leo usiku uliokuwa unaendeshwa na kituo cha TV cha ITV kilichokuwa na mada ya NINI TUMEJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, badala ya WANACUF kujadili mada ikizingatiwa kuna...
Kama mlivyosikia bunge lililopita tumewasha moto bungeni juu ya ardhi na wabunge wa CCM wametuunga mkono, sasa tunasubiri bunge la mwezi wa nne, mwakani kisipoeleweka kaeni mkao wa kula kutwaa...
Wananchi wengi (80%) ni maskini wa kutupwa ndani ya nchi yetu. Cha ajabu 99% ya viongozi wa CCM ni matajiri!!!
Miaka ya nyuma CCM kilijitambulisha kama chama cha wanyonge (wakulima na wafanyakazi)...
Watanzania Tumelogwa na nani?
Nikipita maeneo Mengi ya nchi hii sehemu ambazo binadamu hununua mahitaji yao kwa kweli wako makini katika kununu bidhaa itakayo kuwa ni Nzuri na yeye kuridhika...