CHADEMA Mnaamini katika nini na Viongozi Wanaimani hiyo Pia?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Kuna mahali nimepata quotation hii is a food for thought!

"official government's position on economic policies had clearly changed after the stepping down of Mwalimu Nyerere, a socialist and nationalist leader, who was ready and willing to stick to his guns to what he believed to the bitter end and the election of a moderate and a semi/non believer of socialist oriented policies."

Kutokana na hili CHADEMA mjifunze mambo mawili!
(i) Lazima muwe na itakadi clear na inayoeleweka kwa wananchi vizuri
(ii) Lazima kuwa na viongozi wanaoiamini itikadi hiyo na ambao watakuwa tayari kuitetea hadi mwisho hata kama itawagharimu.

Mkifika hapo hakutakuwa na migogoro ya uongozi maana kinachowaunganisha ni itakadi sahihi. Nafikiri inawapasa kufanyia kazi sana hilo la itakadi na mhakikishe viongozi wa juu wa chama wanaiamini ili wawashawishi wanachama pia waiamini. Kinachowagharibu CCM ni kwamba wameiacha itikadi yao na kupoteza mwelekeo. Leo huwezi kumkukuta kiongozi wa CCM anazungumzia itikadi maana haipo hivyo hakuna kinachowaunganisha zaidi ya madaraka. Ndio maana pia CCM ina hatari ya kufa baada ya kushindwa uchaguzi
 

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
CCM wana itikadi ila hawaitii CHADEMA hawana itikadi kabisa
Chadema ina itikadi. Inaamini katika soko huria. CCM wana itikadi ila wanafanya kinyume na wanasema. Kikubwa Chadema lazima ijiandae sana kujenga hoja za jinsi itakavyoibadili nchi nkishinda kwa sera na itikadi
 

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,150
7,328
chadema ina itikadi. Inaamini katika soko huria. Ccm wana itikadi ila wanafanya kinyume na wanasema. Kikubwa chadema lazima ijiandae sana kujenga hoja za jinsi itakavyoibadili nchi nkishinda kwa sera na itikadi
soko huria ni sehemu tu ya ubepari na sio itikadi wewe? Labda waseme wanaamini kwenye ubebari;ila wanaogopa kusema hivyo kwa sababu tabia za ubepari zina ogopesha.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom