NINI? TADHIMINI YAKO KWA SIASA ZA CCM 2012 na MAPENDEKEZO 2013 Kama cha tawala

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
0
Wanabodi
Chama tawala kwa mwaka 2012 haikupita week, mwezi wala mwaka hatujaidili ccm kwa siasa zake kwa Watanzania si serikalini, bungeni, mahakamani na kwenye chama kwa walioibua viongozi wao wa chama na waliopewa dhamana kuongoza serikali kusimamia rasimali zetu na kuzitumia kwa manufaa ya taifa na hata wanachama.
Nini tadhimini yako kwa waliyoshiriki yakaibukia kwenye jukwaa na kuibua mjadala yapi ya kuwapongeza
2. Yapi walikuboa nayo
3. Mwaka 2013 unawashauri nini CCM
 

Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
Sidhani iwapo CCM watazingatia ushauri wowote kwa sasa!! "Mbwa mzee hajifunzi mbinu mpya". CCM wasipoondoka madarakani watanzania mhesabu mmeumia!!! Hakuna jipya chini ya serikali ya ccm!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom