JUST
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 552
- 236
ndugu wanaJF,
kama kweli tunaipenda nchi yetu tajiri yenye asali na maziwa basi ni busura kukubaliana kwa pamoja kuwa ili ustawi wa wananchi uweze kumea vizuri ni lazima CCM ife kwa sababu zifuatazo:
1. imekuwa na tabia ya kuingia kwenye mikataba ya kunyonya nchi na wananchi wake.
2. imekuwa na tabia ya kukusanya kodi kwa masikini na kuwaacha matajiri
3. imekuwa ikitoa upendeleo kwa nafasi za tenda,ajira kwa ndugu, jamaa na marafiki zao wasio kuwa na vigezo huku watoto wa wakulima wakiachwa hali wanavigezo vyote.
4. imekuwa ikiwatosa watoto wa wakulima kwa nafasi za kisiasa ndani ya chama na kuwapa ndugu, jamaa na marafiki zao.
5. mbaya zaidi imewaadaa watanzania kwa ahadi nyingi nzuri za matumaini bila ya kutekelezwa kwa miaka 51
6. imesababisha matabaka ya kielimu kwa kuruhusu uwepo wa shule za msingi za pesa nyingi na kwa lugha ya watu(waingereza na wengine) ambazo mtanzania wa kawaida ukimuacha masikini anashindwa kuwapeleka na mbaya zaidi wameziita kayumba na za juu yake kata.
7. imeacha kupima viwanja na kusababisha bei ya viwanja kukuzwa bila sababu ili hali ardhi yetu ni kubwa kuzidi nchi ya kenya na uganda kwa pamaoja. hali hii imesababisha wenye viwanja kuwa ni wale wale wanaoiba kodi zetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao.
8. imeuwa viwanda na reli na kuruhusu ndugu, jamaa na maraki zao kugeuza viwanda maghala na kufanya barabara mbadala wa reli ili malori yao yatumike. hali hui ndio moja ya vyanzo vya mfumuko wa bei unaomuumiza mwananchi.
kwa kweli mambo ni mengi hatua ya kuchukua ni kukipumzisha kwa amani tu kupitia sanduku la kura.