Warioba, CCM na Polisi Zanzibar

Warioba, CCM na Polisi Zanzibar

abdul 28

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Posts
325
Reaction score
38
CCM zanzinar wamekuwa wakiendesha utaratibu mzima wa maoni huwezi kuzima hisia za watu kwa ubabe Warioba kuwa makini au utakuwa ni Mursi
 
waachieni nchi yao hala !yenu mshaiuza sasa mnasumbua wenzenu,kama ninyi mngekuwa salama twiga wangechukuliwa machoni mwenu iacheni zanzibar iende.
 
Wanafikiri wanaweza kuwaziba midomo watu wa Znz. Warioba ana wakti mgumu sana kwani watu wanauchana Muungano mchana kweupeeeeeee na kujulishwa Jussa hayupo pekee bali waZnz wooote lao moja kutetea haki na uhuru wa Mznz na Znz kijumla.

kama atakuwa fare basi Muungano bye bye Znz utabaki Tanganyika Tu. Kwani huko ndiko waliko mazuzu ya muungano.
 
Hapo red, ni kweli mazuzu wa muungano wako Tanganyika. Nchi yao ilipotezwa kijanja lakini wengi wao hawaelekei kuelewa. Juzi hapa kulikuwa na Sherehe kubwa ya miaka 50 ya Uhuru eti wa TANZANIA!!! Jamani kuna Tanzania ipi iliyofikisha miaka 50?? Muungano mwaka 1964; miaka 50 itafikaje 2011? Ule ulikuwa uhuru wa TANGANYika na siyo Tanzania Bara. Hakuna nchi inaitwa TANZANIA BARA. Neno TAN ZAN IA = TANGANYIKA NA ZANZIBAR. Unaposema TANZANIA BARA maana yake TANGANYIKA NA ZANZIBAR BARA. Mbona tunafanywa mabwege?
 
waachieni nchi yao hala !yenu mshaiuza sasa mnasumbua wenzenu,kama ninyi mngekuwa salama twiga wangechukuliwa machoni mwenu iacheni zanzibar iende.

si twiga ata pembe za ndovu wameiba na wezi wakuu ni kutoka safu ya uongoz mpya na ya zamani ya ccm
 
eti WAZANZIBAR wanataka "WAACHWE WAPUMUWEEEEEEE!
 
[/COLOR][/B]

Hapo red, ni kweli mazuzu wa muungano wako Tanganyika. Nchi yao ilipotezwa kijanja lakini wengi wao hawaelekei kuelewa. Juzi hapa kulikuwa na Sherehe kubwa ya miaka 50 ya Uhuru eti wa TANZANIA!!! Jamani kuna Tanzania ipi iliyofikisha miaka 50?? Muungano mwaka 1964; miaka 50 itafikaje 2011? Ule ulikuwa uhuru wa TANGANYika na siyo Tanzania Bara. Hakuna nchi inaitwa TANZANIA BARA. Neno TAN ZAN IA = TANGANYIKA NA ZANZIBAR. Unaposema TANZANIA BARA maana yake TANGANYIKA NA ZANZIBAR BARA. Mbona tunafanywa mabwege?
kweli kabisa mkuu,Tanganyika yetu irudi kwanza.
 
Kwanza tukumbuke Jk alizui kujadili muungano,kinachofanyika ni kwa mapenzi ya Warioba na ndo maana tunashuhudia vurugu hizi. R.I.P 'Muungano'
 
Back
Top Bottom