CCM ndio wa kulaumiwa kwa Watanzania kuwa na logic mbovu


Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Watanzania tumekuwa tukichekwa na watu wa nje kuwa hatujui jibu maswali, tuna reasoning mbovu na mambo mengine.Pia wana mapinduzi wamekuwa wakipata shida sana kujadili mambo na CCM, kuwaelimisha CCM, na hata kuishi nao.Tumeona matamshi ya kuchekesha kabisa toka kwa wana CCM wote, wachafu kwa wanaoneka kuwa wasafi, kutoka kwa viongozi wazoefu na hata wasomi wa juu ndnai ya chama hiki.Vijana wa CCM nao hawajawa nyuma sana kushindana na baba zao wanaouchapa usingizi na kukurupuaka na fikra za usingizi huku wakilazimisha.

CCM hawana pa kukwepa kwani hata ndani ya nchi wao ndio tatatizo na wagumu kuelewa vitu vidogo.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
its painfull kuona posting za watu kama akina Ritz, na hata wakipewa majibu, bado mda si mrefu wanarudia yaleyale kwa logic ile ile.
 
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
908
Points
225
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
908 225
Ukiona ndani ya miaka 50 ya uhuru kuna mtu bado anaiamini CCM,basi ujue huyo mtu anatatizo la au TUMBO(Njaa) au UBONGO(Akili) wake umekufa.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
nilikuwa naongea na wasomi fulani katika siku za karibuni.Wakati wananipa mafunzo na ufafanuzi wa vitu fulani ktk fani yao,tuifikia sehemu nikapata kitu kikanipa mashaka nilipojaribu wauliza wanipe ufafanuzi walionyesha wazi hawakuwa wakijua concept nzima.Pale ndipo nikajaribu waambia kuwa mimi nimekuwa nafanhamu moja mbili tatu na nashawishika kuwa maelezo yangu pia yatakuwa na support toka kwa wanataaluma wa hiyo fani.Wale jamaa walianza hadi kuzomea, na mambo mengine.Ktk kitu ambacho zikupenda waambia ni kwamba ktk process za kusoma na kukua kuna mambo ktk maisha mtu anakutana nayo na kuyapenda hivyo kumfanya aende extra mile kujifunza hicho kitu hata kama hakipo ktk field of choice.

Na kweli nilipowaletea Reference ya kitabu na CD, ilikuwa kama embarassment kwao, kitu ambacho sikupenda ila wao ndio waligeuza lile jambo kuwa ubisho badala ya mjadala na wakaend ambali hadi kufanya Kejeli.

Hii ni purely CCM ways of thinking.
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,844
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,844 0
Mbona umesahau na kutaja posts za Katibu wa Vijana Tanga wa CHADEMA? Na Nassari jee?

Tayari huu uzi umeshakosa logic unayozungumzia kwa kudhani tatizo linaweza kuwa kwa wana CCM tu na mtu akijiunga CHADEMA tatizo linayeyuka
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,917
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,917 2,000
Watanzania tumekuwa tukichekwa na watu wa nje kuwa hatujui jibu maswali, tuna reasoning mbovu na mambo mengine.pia wana mapinduzi wamekuwa wakipata shida sana kujadili mambo na ccm, kuwaelimisha CCM, na hata kuishi nao.tumeona matamshi ya kuchekesha kabisa toka kwa wana CCM wote, wachafu kwa wanaoneka kuwa wasafi, kutoka kwa viongozi wazoefu na hata wasomi wa juu ndnai ya chama hiki.vijana wa CCM nao hawajawa nyuma sana kushindana na baba zao wanaouchapa usingizi na kukurupuaka na fikra za usingizi huku wakilazimisha.

CCM hawana pa kukwepa kwani hata ndani ya nchi wao ndio tatatizo na wagumu kuelewa vitu vidogo.
CCM hawawezi kujieleza lakini wakihamia CHADEMA wanaweza sijui kwa nini?

Wanamapinduzi wanapata shida sana kujadili hoja na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi lakini hawapati shida yeyote kujadiliana na CHADEMA ;hata mimi najiuliza kwa nini?
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Mbona umesahau na kutaja posts za Katibu wa Vijana CHADEMA? Na Nassari jee?

Tayari huu uzi umeshakosa logic unayozungumzia kwa kudhani tatizo linaweza kuwa kwa wana CCM tu na mtu akijiunga CHADEMA tatizo linayeyuka
umeongezea kitu kizuri .Sidhani kama nimepinga hayo, kwani hata wengine wakiahama CCM bila kufanyiwa brushing kwa kiasi fulani kuna kaukakasi kanakuwepo kwa muda fulani.

Issue ya Nassary kuhusu kutangaza Jamhuri sioni kama ni kos akubwa kihivyo, kwani hata Wapemba nao wanataka yao, Waunguja nao, na hata wazenje kwa pamoja, kwa hiyo Nassary kusema hivyo haikuw aissue na kwa vile hakuisema vyema ndio maana wakamshambulia kirahisi.

kuna issue ""kama uhuru, uzalendo , mapinduzietc" Tafsiri ya wana CCM si moja na watu wegine.Kwao mapinduzi ni overthrow zaidi ya kuwa revolution (green, technological, economical etc.)
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
ccm hawawezi kujieleza lakini wakihamia chadema wanaweza sijui kwa nini?wanamapinduzi wanapata shida sana kujadili hoja na wanachama cha mapinduzi lakini hawapati shida yeyote kujadiliana na chadema ;hata mimi najiuliza kwa nini?
pengine waliohama hawakuwahi kuwa CCM kamili na siku zote walikuwa na mashaka na vitu fulani.Kwanza kuhama ni dalili kuwa tayari ubongo umeanza amka,utambuzi unakuja na hivyo maamuzi ya kuhama kumjia.Huo utambuzi ndio unamsaidia kuanza kuwa useful,ingawa ukakasi unaweza chelewa ondoka kama Shibuda.Hivi Shibuda akiulizwa nini kinamfanya afanye chokochoko CDM atakuwa na jibu la maana?Kwani ubunge wa CCM ,au CCM, AU chama kingine unatofautiana nini?Kwani upinzani kupanuka na kupata nguvu kuna dhambi gani?Je anajua afanyayo ana hakika kama CCM itakuwepo hai mara atakapofukuzwa rasmi ktk CDM,je anajua kuwa upinzani kuwepo ndipo kulipomfanya awepo ktk siasa?Otherwise mafisadi wangemweka pembeni ili kupitisha mtu mwingine, ila alipoingia CDM akapata nafsi nyingine ya kuokoa safari yake kisiasa.Sasa km si ubinafsi ni nini?Yeye kaokolewa ila yeye hataki waokoa wengine.

Shida imeanzia CCM ndio maana, fikra za watu juu ya upinzani bado si njema hata kama watapatiwa kila kitu, fikra za watanzania ktk mambo mengi pia ni hivyohivyo.
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,844
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,844 0
umeongezea kitu kizuri .Sidhani kama nimepinga hayo, kwani hata wengine wakiahama CCM bila kufanyiwa brushing kwa kiasi fulani kuna kaukakasi kanakuwepo kwa muda fulani.

Issue ya Nasser kuhusu kutangaza jamhuri sioni kama ni kos akubwa kihivyo, kwani hata wapemba nao wanataka yao, waunguja nao, na hata wazenje kwa pamoja, kwa hiyo Nasser kusema hivyo haikuw aissue na kwa vile hakuisema vyema ndio maana wakamshambulia kirahisi.

kuna issue ""kama uhuru, uzalendo , mapinduzietc" Tafsiri ya wana CCM si moja na watu wegine.Kwao mapinduzi ni overthrow zaidi ya kuwa revolution (green, technological, economical etc.)
Hoja yako imekosa mantiki, lakini inaweza kutumika kuthibitisha kuwa Watanzania hatujui kujenga hoja kwa mantiki hata hoja ya kueleza hiyo nayo imekosa mantiki vile vile
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,917
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,917 2,000
pengine waliohama hawakuwahi kuwa ccm kamili na siku zote walikuwa na mashaka na vitu fulani.kwanza kuhama ni dalili kuwa tayari ubongo umeanza amka,utambuzi unakuja na hivyo maamuzi ya kuhama kumjia.huo utambuzi ndio unamsaidia kuanza kuwa useful,ingawa ukakasi unaweza chelewa ondoka kama shibuda.hivi shibuda akiulizwa nini kinamfanya afanye chokochoko cdm atakuwa na jibu la maana?kwani ubunge wa ccm ,au ccm, au chama kingine unatofautiana nini?kwani upinzani kupanuka na kupata nguvu kuna dhambi gani?je anajua afanyayo ana hakika kama ccm itakuwepo hai mara atakapofukuzwa rasmi ktk cdm,je anajua kuwa upinzani kuwepo ndipo kulipomfanya awepo ktk siasa?otherwise mafisadi wangemweka pembeni ili kupitisha mtu mwingine, ila alipoingia cdm akapata nafsi nyingine ya kuokoa safari yake kisiasa.sasa km si ubinafsi ni nini?yeye kaokolewa ila yeye hataki waokoa wengine.

Shida imeanzia ccm ndio maana, fikra za watu juu ya upinzani bado si njema hata kama watapatiwa kila kitu, fikra za watanzania ktk mambo mengi pia ni hivyohivyo.
shibuda kinachomfanya awe vile keshasema ana siri nzito za ndani ya chadema ikiwemo viongozi waandamizi wa chama hicho kuwapa vyeo ndugu na marafiki zao kinyemela.inaonekana ndani ya chadema kweli kuna siri nzito mno ndo maana watu kama kina shibuda pamoja na kufanya anayofanya chadema wamenyamaza kimya.kazi tu ni kumlaumu kikwete kwamba eti anashindwa kuwaadhibu mafisadi maana wana siri nzito za chama.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
shibuda kinachomfanya awe vile keshasema ana siri nzito za ndani ya chadema ikiwemo viongozi waandamizi wa chama hicho kuwapa vyeo ndugu na marafiki zao kinyemela.inaonekana ndani ya chadema kweli kuna siri nzito mno ndo maana watu kama kina shibuda pamoja na kufanya anayofanya chadema wamenyamaza kimya.kazi tu ni kumlaumu kikwete kwamba eti anashindwa kuwaadhibu mafisadi maana wana siri nzito za chama.
The issue ni kwamba hata kama ni kweli ana siri au lah.SHibuda hajawajibika kama mwanasiasa,kama mwana mapinduzi.kawa ni mtu wa mizaha kwa chama pekee chenye matumaini kwa watanzania, kawa kaiibuka na kuongea maneno ya kijinga ktk vikao vya CCM.Katika uchaguzi wa kamati za Bunge alikuwa akifanya mizaha sana, anaingi ahalafu anakuja jito kwa mbwembwe huku akimfagilia kila mwana CCM kwa kumwita kaka yake, ndugu yake etc.


CHADEMA kukaa kimya ni kumnyima Shibuda mahali pa kuanzisha sokomoko na dram zake ambazo chama hakioni haja ya kupoteza nae muda kujibizana wakati adui wa muhimu ni CCM sasa hivi.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,917
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,917 2,000
the issue ni kwamba hata kama ni kweli ana siri au lah.shibuda hajawajibika kama mwanasiasa,kama mwana mapinduzi.kawa ni mtu wa mizaha kwa chama pekee chenye matumaini kwa watanzania, kawa kaiibuka na kuongea maneno ya kijinga ktk vikao vya ccm.katika uchaguzi wa kamati za bunge alikuwa akifanya mizaha sana, anaingi ahalafu anakuja jito kwa mbwembwe huku akimfagilia kila mwana ccm kwa kumwita kaka yake, ndugu yake etc.


Cdm kukaa kimya ni kumnyima shibuda mahali pa kuanzisha sokomoko na dram zake ambazo cham hakion ahaja ya kupoteza nae muda kujibizana wakati adui wa muhimu ni ccm sasa hivi.
unaposhema chadema ni chama pekee chenye matumaini kwa watanzania,unamaanisha kwamba wafuasi wa chadema ndo watanzania kama ambavyo mnaposema umma mnakusudia chadema?
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Hoja yako imekosa mantiki, lakini inaweza kutumika kuthibitisha kuwa Watanzania hatujui kujenga hoja kwa mantiki hata hoja ya kueleza hiyo nayo imekosa mantiki vile vile
Sasa ili na wewe ujitoe katik kukosa mantiki, basi ungepanua maelezo yako kidogo.Naona unatajitajia tuu na pengine ukiambia ujieleze vizuri unaweza kuwa ni walewale tuu.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
unaposhema chadema ni chama pekee chenye matumaini kwa watanzania,unamaanisha kwamba wafuasi wa chadema ndo watanzania kama ambavyo mnaposema umma mnakusudia chadema?
Swali lako ni zuri ila lipo flawed.... pengine niupe mifano kidogo ndipo unaweza ona jinsi ulivyo flawed.Wana CCM hawa wanalalamika sana CDM wanapochelewa pigia kelele ufisadi fulani.Ktk vitu CDM wamekuwa wakifichua na kupigia kelele ni vya watanzania wote.

Kuna mfano mwingine:Nguruwe anatumika ktk kunusa madawa na chemikali nyingine hatari za milipuko.Kwa haraka utaon akuwa nguruwe si mnyama mwenye support ya waislam.Ila anachokizua kina faida hadi kwao.

Pengine nikupe funzo, effect za CDM na changamoto wanayowapa CCM ina manufaa kwa watanzania wote, pengine cha kujiuliza ni kwanini watanzania wapo tayari kutumia benefit za uwepo wa CDM ila hawana mchango positive zaidi ya kuji behave in a way wanakishambulia chama.
 
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,735
Points
1,500
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,735 1,500
Nafikiri wewe ni punguani kwa kufikiri kuwa kama mimi ni fisadi nikijiunga naudm ndio ufisadi wangu unaisha.kwamba upeo wangu ni mdogo nikijiunga na cdm unakua mkubwa.naona tudanganye kwa mengine hili umenoa
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,844
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,844 0
Sasa ili na wewe ujitoe katik kukosa mantiki, basi ungepanua maelezo yako kidogo.Naona unatajtaja tuu na pengine ukiambia ujieleze vizuri unaweza kuw ani walewale tuu.
Hata usiponiomba maelezo ya ziada, mimi ni wale wale tu, kama ilivyojidhihirisha kwako
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Hata usiponiomba maelezo ya ziada, mimi ni wale wale tu, kama ilivyojidhihirisha kwako
Nashukuru umekubali kuwa na wewe ni walewale tuu.

Hivi unategemea katk hii dunia watu wataota kila kitu haafu wkauulize kwanza ndipo ujibu.Usipoulizwa je utakufa na ukijuacho?Ndio maana hata mkienda cheza mpira nje huwa mnashindwa kuonyesha vitu tofuati kwa vile mnadhani hamkuambiwa mvifanye au kuulizwa kama mnavijua.Mtaishia waona kaina messi walitafuta njia y akuonyesha kwa uhakika vitu wavijuavyo kwa manufaa ya timu na mwisho wa siku kuwa tofauti.
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,844
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,844 0
Nashukuru umekubali kuwa na wewe ni walewale tuu.

Hivi unategemea katk hii dunia watu wataota kila kitu haafu wkauulize kwanza ndipo ujibu.Usipoulizwa je utakufa na ukijuacho?Ndio maana hata mkienda cheza mpira nje huwa mnashindwa kuonyesha vitu tofuati kwa vile mnadhani hamkuambiwa mvifanye au kuulizwa kama mnavijua.Mtaishia waona kaina messi walitafuta njia y akuonyesha kwa uhakika vitu wavijuavyo kwa manufaa ya timu na mwisho wa siku kuwa tofauti.
Mimi sijui chochote wala sina uhakika wa chochote na sitegemei chochote kwa yeyote
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Nafikiri wewe ni punguani kwa kufikiri kuwa kama mimi ni fisadi nikijiunga naudm ndio ufisadi wangu unaisha.kwamba upeo wangu ni mdogo nikijiunga na cdm unakua mkubwa.naona tudanganye kwa mengine hili umenoa
walewale.sasa kama ulikuwa hujui si ungeuliza bila kujifanya mjuaji na matusi mengi.Watanzani wana tabia ya kusema wanajua vitu wasivyovijua kwa staili inayowayima fursa ya kujifunza.

pengine nikuambie tuu kwa majibu machache:
-Mtu atabadili ubongo ukiamka na kabadili attitude, hapo anaweza kusitawi kifikra kwa kuwa upande wenye mitizamo tofuati.

-pia ujue mtu anayejijua kuwa CCM sipo basi ujue akili zake hazijalala.

-Fisadi hawezi jiunga CDM akifikia jiunga basi kachagua moja ktk ufisadi au ukombozi kwa walio wengi.Na hivyo atakuwa tayari kuachana nao.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
CCM yenyewei inaongozwa kwa irrationally.hawjaui maana ya upinzani,kuanzia bungeni wabunge wake walikuwa wakifundishwa na CDM kila kikucha kuwa upinzani si kuzomeazomea hata vitu vyenye maana, si kushambuliana na chuki nyingine.Hadi Pinda na wengine wakaja waelimisha.
 

Forum statistics

Threads 1,294,644
Members 498,026
Posts 31,182,428
Top