Chama tawala kuwalipia wanachama waliohama kadi zao-Ni aibu mbaya, ni fikra nyembamba.

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
-Siku za karibuni Nape ameanza piga kelele kuwa watu kadhaa wanashikilia kadi za CCM, bado haikuweza k uwa issue kwa vile kadi hununuliwa na watu wengi tuu hawarudishi hizo kadi.Wengine kama kumbukumbu, wengine kam ushahidi, wengine kwa vile hawakuwa na muda wa kurudisha au hawajui wamrudishie nani.

-Nape aliendelea kwend ambali na kusema kuwa kadi zinalipia hadi sasa, ilikuwa ni njia rahisi ila hatari san akujipatia sifa za haraka na kuchafua wapinzani haraka.Ila nape hakuwa tayari jibu swali langu pale nilipotaka uthibitisho kuwa hao anaowasema ndio waliolipia hizo kadi kwa hela zao wenyewe na si michezo ya CCM kujaza madaftari ili baadaye wadai wanoa ushahidi wa malipo.

-NI kitendo ch aaibu chama tawala kudanganya taifa kwa kila nyanja, ikiwepo kwa vitu hatari na vya kijinga namna hii.CCM wamefikia hapa wataaminika kwa lipi?

Mods:Naomba msiunganishe na nyingine pengine Nape atapata muda wa kuja jibu kw aushahidi kuwa kadi za CCM zinazoshikiliwa na viongozi wa vyama vingine kweli ni wao walilipia na michezo ya CCM.
 
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
623
Points
195
Age
49
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
623 195
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,853
Points
1,250
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,853 1,250
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Baada ya kusema haya imewsaidia nini ndugu zako kule kijijini?
 
M

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Messages
2,093
Points
0
M

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2012
2,093 0
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Poor mind!Watu kama nyie hamfai hata kdogo ktk taifa hili.Endelea kufugia nywele kichwa chako badala ya kufikiri.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Nape namtafuta aje na uthibitisho kuwa kweli Dr. na wengine waliwahi kuja lipia hizo kadi ktk office za CCM kwa hela zao halali.Nape katokomea.Wewe tuu ndio bado huja update Database yako km wana ccm wengine.

By the way Yeriko amethibitisho Nape ni CCJ kwa picture kali sana.
 
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
623
Points
195
Age
49
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
623 195
Baada ya kusema haya imewsaidia nini ndugu zako kule kijijini?
Yamewasaidia sana ndugu wa vijijini kuona ni jinsi mtu mzima kuwa muongo ni aibu; njia muongo ni mfupi daima penye ukweli uongo hujitenga
 
Huna haja ya kumsubiri Nape muulize mwenye kadi
 
Masaningala

Masaningala

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
543
Points
225
Masaningala

Masaningala

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
543 225
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Kazi ya pandikizi ni kuharibu mfumo usipate nafasi ya kukua. Vipi CDM mbona inakuwa siku hadi siku na kinara wa kushiriki harakati za kukikuza CDM ni Slaa yuleyule? Ukweli kwako kuwa Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM ni ujinga uliopitiliza. Ukisema Shibuda, nitakuwa tayari kukuunga mkono.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Baada ya kusema haya imewsaidia nini ndugu zako kule kijijini?
CCM ni colletion ya watu selfish sana ndio maana wanahongeka kirahisi kwa mambo yanayo compromise uhai wa taifa na watu wanaowazunguka.Ni kma wanyama wasiopenda hata watoto wao.Ni viumbe ambao akili zao zimezimwa,sasa hivi bombo zao zinapokea na kutoa hisia za tamaa kma zilivyo na hakuna processing.
 
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
623
Points
195
Age
49
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
623 195
Kazi ya pandikizi ni kuharibu mfumo usipate nafasi ya kukua. Vipi CDM mbona inakuwa siku hadi siku na kinara wa kushiriki harakati za kukikuza CDM ni Slaa yuleyule? Ukweli kwako kuwa Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM ni ujinga uliopitiliza.
Mtaamini siku ya uchaguzi 2015; Slaa mzee hivi sasa anachotafuta ni masalio ya kumlea mjukuu junior huoni Chadema ilivyodumaa pamoja na kuchangisha pesa kila siku ni matunda gani yamepatikana zaidi ya wachache kujineemesha kimaisha
 
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
623
Points
195
Age
49
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
623 195
CCM ni colletion ya watu selfish sana ndio maana wanahongeka kirahisi kwa mambo yanayo compromise uhai wa taifa na watu wanaowazunguka.Ni kma wanyama wasiopenda hata watoto wao.Ni viumbe ambao akili zao zimezimwa,sasa hivi bombo zao zinapokea na kutoa hisia za tamaa kma zilivyo na hakuna processing.
Mwenye choyo aliyejipangia mshahara wa zaidi milioni 12 humuoni kwa kipi hasa mpaka ajilipe kiasi hicho; sijawahi kusikia mpigania uhuru akajipangia mshahara; kama ni kupenda watoto umesahau Slaa aliwakimbia watoto wake?
 
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
1,649
Points
1,195
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2009
1,649 1,195
Yamewasaidia sana ndugu wa vijijini kuona ni jinsi mtu mzima kuwa muongo ni aibu; njia muongo ni mfupi daima penye ukweli uongo hujitenga
Hahahahah ndugu zako wa kijijini wanaishi kwa matumaini ya kuwa wapinzani ni waongo

Imewasaidia mkate wa kila siku hapana shaka ?
 
Gwalihenzi

Gwalihenzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
5,116
Points
1,225
Age
59
Gwalihenzi

Gwalihenzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
5,116 1,225
Mkuu Ritz
Yanga inakipiga na Azamu Mbagala; Refa ana hitima mchele na mafuta yametolewa na Bakhresa kweli ushindi upo hapo? Lugha hizi ingekuwa ni watu waCCM tumeshakula ban siku nyingi sana lakini ashakum si matusi acha mimi niwe hivyo kama Bw. Gwalihenzi anavyotaka; nakujibu sijawahi kuwa mchumia tumbo nafanya kazi halali kabisa; sijui mwenzangu mjini una shughuli gani?
Sio kila anayeijua key board anaishi mjini!
 
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
623
Points
195
Age
49
Spike Lee

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
623 195
Hahahahah ndugu zako wa kijijini wanaishi kwa matumaini ya kuwa wapinzani ni waongo

Imewasaidia mkate wa kila siku hapana shaka ?
Wapinzani wenyewe wapo wapi? Hao wanaoshinikiza kujengewa nyumba Kawe na kujipangia mshahara wa milioni 12? Nyie hangaikeni mwenzenu anajua fika Chadema haina bao ndio sababu kaamua kujipangia mshahara mkubwa na kulazimisha ajengewe nyumba anajua fika Chadema ipo mwishoni; kama alikuwa na uhakika wa ushindi 2015 alikuwa na ulazima gani wa kushinikiza kujengewa nyumba wakati raisi anaishi Magogoni? Piga hesabu hii 72+3+5= 80
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Mwenye choyo aliyejipangia mshahara wa zaidi milioni 12 humuoni kwa kipi hasa mpaka ajilipe kiasi hicho; sijawahi kusikia mpigania uhuru akajipangia mshahara; kama ni kupenda watoto umesahau Slaa aliwakimbia watoto wake?
mshahara ulipishwa ndio maana hakuna wa kulalamika ktk wenye akili timamu.Sijui umewahi jiuliza hao waliojilipa kidogo halafu wakajipa blank cheque ya wizi wanafanya uovu wa kiasi gani?Mshahara wowote anaopewa mtu kihalali hauwezi kuwa wizi wala selfishness.

wanaojilipa nje ya njia rasmi kiasi wapendacho ni CCM, huko ndipo selfishness ilipo.Mshahara kamili huwa kunahitajika sana sababu za kuhalalisha, kabla haijapitishwa.
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
looh!! Mhe. hii picha imenifurahisha sana, hasa jamaa anavyojikuna hilo **** lake.

Ila, haingii akilini eti mtu aliyehama chama 20 yrs ago bado wajinga fulani wanataka kuuaminisha umma kuwa huyo mtu/watu bado ni mwanachama wako..!!

Nadhani ni wajinga, limbukeni, waliofilisika kimawazo na watu wa hovyo hovyo tu ndio wataamini porojo hizo.
Kadi ya chama hununuliwa na kuwa mali halali ya mtu husika na mtu anapohama chama, kadi ile anaamua mwenyewe kuikabidhi kwenye chama anachohamia au anawezabaki nayo kwani ni mali yake. hivyo ndivyo wanavyofanya hata wale wanaohama cdm na kwenda ccm.
 
Forum statistics

Threads 1,285,948
Members 494,834
Posts 30,880,218
Top