Hili likiendelea kushabikiwa hakika taifa zima ni maajabu saba ya dunia


B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
763
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
763 170
Ndugu wa TANZANIA tukiendekeza ushabiki wakuchezea ndevu za simba(ccm) eti kwamba ni wa asisi wa umoja na mshikamano wetu huu utakuwa ni upuuzi usio wa kawaida na hivyo kuongeza idadi ya MAAJABU YA DUNIA. CCM ni mnyama hatari ambaye sumu yake imeathiri watu wengi wa taifa hili mfano
1 umasikini mkubwa kwa wa TANZANIA
2ufisadi ndani ya SERIKALI
3Utoroshwaaij wa mali asili za TAIFA LETU
Hayo na mengine mengi ni sababu lukuki za kuiacha CCM na watawala wake kwani ni hatari kwa vizazi vyetu vijavyo ccm ni kama nyoka HIVI SASA SISHAWISHIKI KUPIGIA KURA VIVUTIO VYETU KWANI NCHI YANGU HII NI MAAJABU YA KUFEDHEHESHA TOSHA YA DUNIA NDANI YA UONGOZI WA CCM
nina wa shangaa baadhi ya wa TANZANIA WACHACHE WANAYO ISHABIKIA CCM ambayo miaka hamsini na moja matatizo lukuki hii ni hatari TUAMKE TUSILALE MPAKA KIELEWEKE
NB TUKISHANGILIA KWAMBA CCM NDIO WALIO TULETEA UHURU BASI TUSISAHAU KUKIRI KWAMBA NDIO MAADUI WETU WA SASA WAMAENDELEO YA WATANZANIA
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,311
Points
1,500
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,311 1,500
Huu ni ukweli mtupu tujipange jamani tukiondoe hiki chama madarakani laa sivyo tutaangamia wote kwa kumwendekeza huyu mkoloni mweusi. Vyombo vinavyohusika na maswala ya kijamaa vitusaidie kumwandalia huyu raisi wetu akistaafu tuu tumpeleke kwenye mahakama ya kimataifa. Mungu tusaidie tupambane hadi kufa
 
Az 89

Az 89

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
1,613
Points
1,250
Az 89

Az 89

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
1,613 1,250
una idea nzuri ila umeshindwa kuipa uwezo wa kuvutia ...by the way CCM ni adui yangu no 1 kwa miaka 9 sasa...
 

Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,790
Top