Kiwango cha ufaulu kwa matokeo ya darasa la saba waliomaliza mwaka huu yametoka na kimeongezeka kwa zaid ya 8% ukilinganisha na mwaka jana.
source:itv-habari 20.12.2012
CCM wapo busy na mpango mwingine,kwa kile kinachooneka ni mwendelezo wa uzalishajiw akiwanja chao cha mawazo yanayofanyia majaribu ktk live production na si ktk test sample au pilot.Wakiwa na...
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) yenye makao yake makuu, The Hague, Uholanzi inatafakari uwezekano wa kuiingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazopaswa kuchunguzwa kutokana na...
KUTOKA KWENYE ILANI YA CCM 2010-2015 WAO MANENO SISI KAZI TEHE MTAJI TOSHA WA 2015 NYIE ENDELEENI KUPANUA VIDOLE SIJUI MTASEMA NN 2015
Serikali imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa barabara kama...
Hbr wana jf,napenda kuwakumbusha hasa wale wenzetu ambao hawajatembelewa na tume ya kukusanya maoni au watakaoiandikia tume kwa barua au e-mail kuwa napendekeza baada ya kufuatilia utaratibu wa...
Serikali ya awamu ya tatu ya Rais Benjamin Mkapa ilisifika sana kwa kudhibiti matumizi mabaya ya Serikali, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha jambo lilisaidia kuimarisha uchumi...
Hii taasisi ya kupambana na kuchochea rushwa tangie iundwe haijaweza kukidhi malengo. Tumeona rushwa imekithiri mpaka mwenye mamlaka ya juu kwenye nchi analalamika kwa wananchi. Ndugu zanguni...
Ofisi inayotumiwa na Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Said Arfi pamoja na Mbunge wa viti maalumumkoa wa Katavi Anastella Mallack ikiwa katika hari mbaya ya kujaa maji katika eneo la mbele ya ofisi...
Ndugu zangu wana wa jamii forums, kwa moyo wa dhati na kwa nafasi kubwa kabisa ndani ya moyo yangu, nina kusudia kuandika machache kuhusu vijana na mabadiliko katika ulimwengu huu wa upya...
Huyu jamaa ni balaa kwa Zitto na genge lake la masalia, wote mtakumbuka jinsi alivyoua matumaini ya Mchange kupata uenyekiti bavicha kwa rushwa iliyothibitishwa.
Kundi la masalia wakifanya kazi...
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Taarifa toka kwa Mawazo ni kuwa jana waliweza kufanya mikutano maeneo ya Vijijini jimboni Muleba kusini . Leo jioni hii Mawazo anaendeleza harakati ambapo kwa...
Ndugu wana jamvi, katika duru mbalimbali baada ya kikao cha kawaida cha kamati kuu ya CHADEMA, ishu inayozungumzwa zaidi ni uchaguzi na upangaji safu ya juu ya uongozi wa chama kwenye uchaguzi...
Ndiyo Wakuu ,Heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Wakili wa Lema ,ndgu Kimomogolo muda mfupi uliopita akiwa Mwanza kushughulikia Sintofahamu ya kesi ya Madiwani Mwanza, amedai kuwa...
Karibu wiki nzima sasa Star tv wamekua wakijaribu kukuza propaganda za kijinga zidi ya CHADEMA na kutengeneza kile wanacho ita migogoro ndani ya chama.
Kwenye taarifa zao za Habari hauwezi...
Wana jf; wanaoweza kupata gazeti la uhuru leo wasome, walinganishe na kilichosomwa jana kwa waandishi wa habari, ili tujue hili gazeti linalomilikiwa na chama tawala, ukiachilia mbali maadili ya...
Wakati jamii ya wanamabadiliko ikiendelea kujitahidi kusahau uchafu na madudu yaliyozungumzwa na John Shibuda juzijuzi hapa kwenye kikao cha nec cha CCM akikihusisha Chama cha Demokrasia na...
by JOHN BUKUKU on DECEMBER 19, 2012
Mkuu wa kitengo cha Polisi Jamii Mkoa wa Arusha Mrakibu wa Polisi Mary Lugola akitoa elimu ya ulinzi shirikishi kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa...
MAKAMANDA!!!
Kwa hisia zangu za kuvuta mbali kidogo; mwanzoni mwa miaka ya 2005, Na kama kumbukumbu zako ni sahihi kiasi, jamaa wa BOYS II MENS walitumia mbinu hii hii ya kuwa kaba vijana ndani...
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Muda mfupi uliopita kikao cha BAVICHA Mkoa Mwanza kimemaliza agenda zake. Pamoja na mambo mengi yaliyojadiliwa lakini kubwa lilikuwa ni kujadili uvumi...
Leo asubuhi nimeshtuka pale huyu waziri mwenye elimu ndogo sana ndani ya serikaliya chama dhalimu cha CCM Ndugu LUKUVI aliposema wanatumia kiasi kidogo cha hela ambacho ni shs 6,500,000/= kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.