OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 228
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Muda mfupi uliopita kikao cha BAVICHA Mkoa Mwanza kimemaliza agenda zake. Pamoja na mambo mengi yaliyojadiliwa lakini kubwa lilikuwa ni kujadili uvumi ,hujuma,uzabizabina na upotoshaji ulio tolewa dhidi ya Dkt Slaa na ndgu Salvatory ,alie kuwa Katibu wa BAVICHA Mkoa Mwanza ambae mie nathubutu kumwita msariti kulingana na tabia zake.
Kikao kimemvua rasmi ukatibu huo. Vilevile kikao kimependekeza huyu Magafu avuliwe uanachama na ngazi husika ili akapige dili na kuchumia Tumbo kwa Nape a.k.a LUMUMBA PROPAGANDA FM.
Zaidi naomba tufuatilie kwenye vyombo vya habari leo na kesho .