Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana jf,leo nmekaribishwa hapa Tumaini University kuna mdahalo kuhusiana na mapungufu yalipo katika sheria ya uundwaji wa katiba mpya kama ilvo rekebishwa mwaka 2012. Nawakaribisha kwa...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Nimesikitishwa sana na vijana wenzangu kutumika kisiasa kiasi cha kuudhalilisha utu wao. Kijana aiitwaye EDO MWAMA LALA, aliyekuwa katibu wa BAVICHA mkoa wa Mbeya na Adam CHEGULANI (diwani wa...
15 Reactions
250 Replies
17K Views
Speech The Official Launch of the Book- Kamugisha E.T.| Why Africa Fails: The Case of Growth Before Democracy (NB Publishers, 2012)|19th December, 2012- Kampala Uganda My dear friend Elly...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mida ya saa mbili nimrkutana na,msafara mdodo wa Mwiguru hapa furahisha Mwanza, baada ya hapo huo msafara umeishia hoteli ya Ra Kailo wakiwa wamevalia mavazi ya kichama nabaada ya kuangaza...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Habari zilizopatikana hivi punde kutoka kwenye vikao vya CHADEMA kupitia Kurugenzi ya Mambo ya Nje, Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la London Bwana. Lukosi, amesimamishwa kuendelea kuwa mwenyekiti wa...
6 Reactions
185 Replies
15K Views
Ukisoma magazet yaliyo mengi kila siku hautakosa habari ya kuikandia chadema,na baadhi ya redio na tv station,kwa kifupi chadema iana shambuliwa kila kona na bahadhi ya wanachama wake kununuliwa...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
LEO HII diwani wa kata ya Mjimwema iliyoko ktk halmashauri mpya ya mji wa Makambako ndg Alli Mwimike ameahirisha mkutano baada ya kukosa watu kwenye mkutano wake.Hii ilitokana na wananchi wa kata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pichani: Mzee Phillip Mangula akisalimiana na wana-CCM Na Josephat Isango Vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM sasa vimekwisha. CCM wamehama vita vya jukwaani wamekuja magazetini na mitandaoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu...
3 Reactions
99 Replies
9K Views
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, leo na kesho, katika kikao chake cha kawaida, ambapo mbali na mambo mengine...
2 Reactions
83 Replies
6K Views
Lukuvi alikoroga • Adaiwa ni gamba la ufisadi na Waandishi wetu KAULI za kibabe na vitisho vya matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
JANA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, anayeshughulikia Sera na Uratibu wa Bunge, William Lukuvi, alionyesha dhahiri kwamba anamhofia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pamoja na haki na wajibu wa mwanachama kutetea na kueneza itikadi, falsafa na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi nidhamu, utii na umakini ni mambo ya msingi kuzingatia. Ushindi na uhalali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu. Heshima kwenu! Natamubua uwepo wenu makamanda. Takribani mwezi mmoja saSa nimekuwa nikifatilia habari katika magazeti ya kwetu hapa nyumbani. Kwa kiwango kikubwa magazeti mengi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mh. Vincent Nyerere, Mbunge wa Musoma Mjini ametua katika Manispaa ya Iringa na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa mji huo kama mfalme. Mapokezi hayo makubwa yamesababisha watu kuacha shughuli zao...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana bodi wenzangu hapa jamvini, siku moja baada ya yule kijana anayeitwa Salvatory Magafu kujipatia mamlaka asiyokuwa nayo kuwasemea vijana wa Pipooooooooooz Mkoa wa Mwanza, huku akionekana...
25 Reactions
117 Replies
9K Views
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Baada ya kuvuna kigogo wa NCCR-MAGEUZI wilayani Babati kama vyombo vya habari vilivyo ripoti , leo Makamanda wapo jimbo la Muleba kusini kwa Profesa Tibaijuka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini, Siraju Kaboyonga amefariki Dunia usiku huu jijini Dar es Salaam. Kaboyonga ambaye ni Mwenyekiti WA SSRA anatarajiwa kuzikwa Dar Alhamis katika makaburi ya...
5 Reactions
83 Replies
13K Views
Kila penye Jimbo ambalo hakukuwa na upinzani kwa CCM,Serikali iligawanya Jimbo husika ili kuongeza nafasi za 'ajira' na idadi ya Wabunge wa kutajataja-sisi tuna wabunge mia moja na... Mfano...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
KUNA watu wa ajabu sana. Katikati ya mazungumzo mazito juu ya masuala kama ya uchumi, familia, elimu au mwelekeo wa nchi kisiasa, utasikia wanaingiza hoja mfilisi ili kuharibu hoja. Mathalani...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Back
Top Bottom