Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
Huyu jamaa ni balaa kwa Zitto na genge lake la masalia, wote mtakumbuka jinsi alivyoua matumaini ya Mchange kupata uenyekiti bavicha kwa rushwa iliyothibitishwa.
Kundi la masalia wakifanya kazi kwa pamoja na Nape nnauye waliona Magafu atafaa kwa kuwa ni katibu wa mwanza na pia ni uchochoro basi wangefanikiwa na kumbuka kuwa Mchange na Zitto wana kidonda ndugu kilichosababishwa na Liberatus.
Huyu jamaa ni noma na tamko lake na kufukuzwa kwa Magafu kunazidi kuongeza acid katika kidonda.