Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Minyukano inayoendelea ndani ya chadema na ccm ni kuja kuanzishwa kwa chama kipya kabla ya 2015.Watatumika watu kuanzisha chama kipya na baadae wanachama kutoka katika vyama hivi viwili watakuja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wednesday, December 19, 2012 Amin Salmin *Adai si ndugu yao na hapaswi kutumia jina la Baba yake MTOTO wa pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar, Dk. Salmin Amour, Amin Salmin...
2 Reactions
64 Replies
14K Views
Kumbe kutoambilika ni sifa ya Rais bora..! Nakumbuka wakati wa utawala wa awamu ya kwanza wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliitwa majina mengi kutokana na misimamo yake...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix.. Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
2 Reactions
122 Replies
9K Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda • Mangula atoboa siri ya uteuzi wake na Mwandishi wetu SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matatizo tuliyonayo makubwa ni kupata viongozi kwa kupitia njia za panya. Watanzania tunajukumu kubwa sana kupigana na rushwa ambayo inatunyima fursa ya kupata viongozi wanaofaa. Hasara...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
  • Closed
Wakuu, Mahojiano ya moja kwa moja yamefanyika katika thread hii - https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/357439-mahojiano-ya-moja-kwa-moja-na-mhe-zitto-zuberi-kabwe-katika-jamiiforums.html...
16 Reactions
264 Replies
23K Views
Baada ya chama cha mapinduzi kusakamwa sana na vyombo vya habari kwa takribani miaka miwili mfululizo sasa upepo huo umeanza kubadilika na unaelekea kwa mahasimu wao wakuu chama cha CHADEMA. Kwa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ilikuwa tarehe 14 dec.2012 kwenye kijiji cha Utiri wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma kwenye mkutano wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma,mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga (anaitwa Shaib...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Sylvester Mhoja Kasulumbayi (62), akitoa maoni yake juu ya uundwaji wa katiba mpya katika mkutano uliofanyika kwenye kata ya Ipililo iliyopo wilayani Maswa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mhe Vincent Nyerere ameahidi kuungana na mhe Msigwa(waziri kivuli wa maliasili na utalii) kuhakikisha kuwa wale twiga wote waliosafirishwa kwenda nchi za nje wanarudishwwa wakiwa hao.ameyasema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pengine hili halitawafurahisha wapenzi na wakereketwa wa CHADEMA,Kwani wao siku zote hutaka tuisifie tu CHADEMA hata kama inatuharibia maisha yetu baada ya kuichagua! Nilitaraji CHADEMA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna nguvu ya mungu ndio maana kukawa kuna biblia misaafu katika sehemu mbalimbali za kisiasa mf bungeni, kwenye kula viapo n.k Kuna nguvu ya dola.. na ndio maana kukawa kuna vyombo kama polisi...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulifanyika siku ya Jumapili tarehe 26 April 1964 na waasisi wetu marehemu Mzee Abeid Aman Karume na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. kwenye siku ya muungano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MIAKA 50,NA "NYERERE"MMOJA. Jina la Dr.Harrison Mwakyembe linavuma kwa sasa,baada ya kufufua usafiri wa reli mjini Dar Es Salaam,na kufanya maamuzi mengine katika Mamlaka ya Bandari,yenye nia ya...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
NIMEKUWA mfuatiliaji mzuri sana wa mambo yanayoendelea huko nyumbani, hasa sakata la Tanapa na Lazaro Nyalandu- pamoja na mambo mengi yaliyosemwa ukisoma gazeti hili la Rai,ambalo limetuwekea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi Kazi ya Makamu wa Rais katika nchi yetu ni nini? inawezekana hii ikana ni issue ya kuadress kwenye Katiba yetu pia? Huwa najiuliza ni kwa nini Makamu wa Rais haonekani kwenye ulingo wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Jana alasiri pale Bagamoyo nilisimama kununua embe dodo. Akina mama wale wakarimu walinipokea kama mwenzao. Bei ya dodo niliyotajiwa ilinifanya pia nitafakari sana, niingiwe na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Fukuza Fukuza viongozi na wanachama ktk chadema sio ufumbuzi wa kutatua matatizo ya migogoro ndani ya chama. Mimi sikubaliani na kitendo cha kuwafukuza wanachama au kuwavua uongozi wale wote...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mjadala unaoendelea wa kina Zitto na Ben ni wa kukoseana heshima ya chama. Ni mbinu za kutia nuksi kwenye chama hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015. Hakuna chama kinachokosa wasaliti...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom