Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Soma hii ya Deus, Tanzania Daima, nimeipenda; FEBRUARI 10 mwaka huu, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alipindisha Kanuni za Kudumu za Bunge (2007) kwa lengo la kubembeleza urafiki wa Kaizari...
0 Reactions
213 Replies
20K Views
Wanajamvi, Jana kulikuwa na Mkutano wa CDM eneo la Kiomboi, Iramba. Bahati mbaya sikupata muda kufika hapo. Leo Makamanda wapo Misigiri na nipo hapa tangu asubuhi ili niwaletee kila...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Chanzo: Gazeti la Mwananchi CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuandamwa na migogoro baada ya jana kuibuka mwingine mkubwa katika kikao chake cha ndani mkoani...
7 Reactions
201 Replies
14K Views
  • Closed
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa...
2 Reactions
140 Replies
17K Views
  • Poll Poll
Tarehe 9 disemba kama kawaida tutaalikwa pale uwanja wa taifa kwenda kusheherekea sikukuu ya uhuru na kuangalia ndege za mitumba za jeshi kutoka nchi za magharibi tukiwa na mafanikio yafuatayo...
1 Reactions
87 Replies
7K Views
Wana Jf kuna kile kinachoonekana kama maazimio ya CCM kwenye kikao chao kilichopita huko Dodoma, maazimio hayo yanaonekana kuwa ni mengi lakin binafsi nayaona makubwa hasa mawili kwa sasa, mosi...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo...
50 Reactions
251 Replies
22K Views
Nafuatilia mjadala wa radio fulani kuhusu mauaji ya raia yanayofanywa na polisi kuna mkuu wa wilaya ya Ngara anazungumza hapa anasema eti watanzania hatutii sheria akatoa mfano wa Zuma eti mfano...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
http://youtu.be/gCdwgddz1EI
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii ni mbinu mpya imeibuka sasa hivi kwenye taasisi za serikali, kuna kikundi kinajiita wafanyakazi wanachama wa CCM wameunda umoja wao na wanafanya vikao na mikakati ya kuimarisha chama kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amezidi kukiweka katika wakati mgumu chama cha CCM na chama hicho kinahofia kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao. Utafiti uliofanywa na gazeti...
8 Reactions
116 Replies
8K Views
Heshima zenu wote wanabodi wa vyama vyote, Kwa kweli nianze kukiri kwamba uwezo na muelekeo wa vijana katika siasa za Tanzania umekuwa ukikinzana sana na taaluma na maadili ya siasa yenyewe nchini...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
“Kauli ya Mwakamele kwamba yupo kiongozi mmoja wa Tanesco ambaye alimwomba rushwa ya Sh100 milioni, ikiwa ina ukweli inazidi kudhihirisha kuwa mtandao wa ufisadi ulioko ndani ya Tanesco na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
swala la mabadiliko ya katiba lipelekwe haraka ili kwamba uchaguzi ujao wa mwaka 2015 tuwe na katiba mpya itayotuletea tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya daftari la kudumu la kupiga kura...
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Written by Zanzibar Moja // 18/12/2012 // Habari // 8 Comments Na Ismail Jussa MAONI KWA ZANZIBAR NZIMA: Ukichukua mwelekeo wa maoni yote yaliyotolewa hadharani katika mikutano yote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hatimaye kile kilichokuwa kumejificha sasa kimewekwa wazi kwamba Kiongozi mmoja wa ngazi ya juu wa Baraza la vijana-CHADEMA BAVICHA ndiye yuko katika harakati za kumchafua Kiongozi wa upinzani...
7 Reactions
278 Replies
19K Views
Hivi nilikuwa sijajua kama 2015 ni karibu kiasi cha kwamba minongono imeanza mingi sana nani awe raisi nani asiwe , wengine wamejihakikishia kabisa kuwa fulani atakuwa raisi , wengine wameanza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freeman Aikael Mbowe kesho anatarajiwa kuunguruma Mjini Karatu kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa maazimio ya kamati kuu iliyokaa hivi karibuni jijini Dar es salaam.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Pamoja na vichekesho vingine vya Nape bado nilikuwa nadhania kunazo zilizobaki.Ila hii ndio kali kupindukia,Nape anapotoa challenge ya kijinga kama hii basi sioni haja ya kuona kama kuna...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom