Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
195
Ndugu wana jamvi, katika duru mbalimbali baada ya kikao cha kawaida cha kamati kuu ya CHADEMA, ishu inayozungumzwa zaidi ni uchaguzi na upangaji safu ya juu ya uongozi wa chama kwenye uchaguzi ujao wa chama 2013.

Nafasi ya Mwenyekiti>

1.Freeman Aikaeli Mbowe - katika duru mbalimbali bado anapewa nafasi kubwa kuendelea na nafasi yake. Kiumri, uzoefu, uongozi thabiti bado CHADEMA inamuhitaji KAMANDA wa Anga (kama wanavyoenda kumwita) aendelee kukongoza kwa miaka mingine mitano.
Tishio alikuwa ndugu Zitto Z. Kabwe mbye kw kutambua mchango wa Freeman Mbowe na athari za uamuzi wa kuamua kugombea safari hii ameamua hatagombea.

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti.

Yapo Majina mengi yanatajwa kubwa upepo unavuma kwa kasi kwa Prof. Abdallah Jumbe Safari, mtu anayefahamika kwa misimamo yake thabiti, anaeichukia CCM kwa dhati. Yupo tayari kumkosoa yeyote kistaarabu bila kujali nafasi yake.
Tishio yaonekana bado Prof. Safari ni mgeni ndani ya siasa za CHADEMA.

Pongezi kwa mzee Arfi kuamua kupisha wengine.

Nafasi ya Katibu Mkuu.

wapenda mabadiliko ndani ya chama wanaona ni vyema Dr Wilbroad Peter Silaa yamfaa sasa kupumzika au kupisha damu mpya ili kuendeleza mapambano kwa kasi kubwa zaidi na Ndugu Silaa aende kuwa mwenyekiti wa baraza la wazee
majina yanayo tajwa sana ni
1. Zitto Zubeir Kabwe
2. Tundu Antiphas Mughwai Lissu.

Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kutokana na aina ya siasa anazozifanya sasa inampa wakati mgumu kukikwaa cheo hiki kw kiasi fulani amepoteza imani kwa wanachama wenzake na anaonesha anasimamia zaidi malengo binafsi dhidi ya yale ya chama.

Ndugu Tundu Lissu - ni kiongozi mwenyew msimamo mkali anaonekana yupo tyari kusimamia nidhamu ndani ya chama bila upendeleo.

kwa vyovyote TUndu Lissu anaweza kukikwaa cheo hiki.

Naibu Katibu Mkuu

1.Bara (Tanganyika) - Ndugu Zitto Z. KAbwe anatajwa kuendelea katika nafasi yake.

2. Visiwani (Zanzibar) - zipo tuhuma za kupwaya kwa Naibu wa sasa Ndgu Yusuph Hamad japo mbadala wake haujaonekana kwa sasa,
Chadema ina kazi zaidi kujipanga Zanzibar.

kwa maoni zaidi ndugu John J Mnyika ameonesha kaimudu zaidi nafasi yake ya uenezi

Tutarajie mabadiliko ya 50/50 kwa sura za Kamati kuu na viongozi w mikoa potential kisiasa - Mwanza, Mbeya, Arusha, Kilimanjaro na Shinyanga.

Lengeri.
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000

Watanzania kweli hamfai. CDM inahitaji kujijenga na sio kufikiria vyeo. Wewe unaleta mambo ya kijinga hapa. Slaa bado anahitajika sana zaidi ya unavyofikiria katika kukijenga chama vijijini.
 
jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,941
2,000
hivi katiba ya chadema haina ukomo wa muda wa kiongozi kwa nafasi za mwenyekiti na katibu mkuu?
 
Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,558
1,195
Hii thread ni attention diversion ya M4C ambayo iko kwenye matayarisho.
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
18,297
2,000

....hujuwi ....kutafuta... pesa wewe ...kukusaidia peleka.... mchakato wako...pale LUMUMBA.....

...huku kwa makamanda unachemsha..watu wapo kwenye uwanja wa mapambano...wamehama majumbani....

...msaada wa mwisho...si unacheti cha kozi ya computer...wahi Lumumba...inalipa...
 
ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
0
Kuna mambo yanafanana na ukweli. Ila hapo katibu mkuu atabaki kuwa Slaa. Naibu ZITTO AMEPWAYA SANA MUULIZE MARA YA MWISHO KUFIKA OFISINI LINI: NAIBU ATAKUWA MTU MSOMI NA ATAKAYETUMIA MUDA MWINGI OFisini kumpunguzia mzigo Dr
 
Ndalwa

Member
Dec 4, 2012
34
0
Ninauhakika hiyo POST imetoka LUMUMBA,ukiisoma ina maana moja tu ya kumtoa Dr slaa nje ya ulingo wa siasa wakati yeye ndiye anayeang'aa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote wa upinzani na hata ndani ya chadema..Dr slaa anakubalika kuchukuwa cheo chochote ndani ya chadema na nchi.CCM bwana wanamuogopa sana Dr slaa kiukweli ukiangalia ndani ya ccm hakuna mtu yeyote atakaye mtoa Dr slaa kwenye mbio za kuingia Ikulu..ndiyo maana kila aina ya mbinu inatumika kumuweka Dr slaa mbali na mbiyo hizo za Ikulu.ngoja tuone ni mda tu utakao sema Dr slaa njia ya kuingia ikulu inaonekana kuwa wazi kwake,sababu ndani ya ccm kwakweli hakuna kiongozi yeyote anayeaminiwa na Watanzania wengi kulinganisha na Dr slaa.
Angalia mleta mada anakwambia ZZK haaminiki kwenye nafasi ya katibu mkuu lakini anaaminika kwenye nafasi ya N/katibu mkuu,why??? nawaombeni wanamageuzi wa kweli tukomae sana huku kwenye mitandao hawa jamaa wameshajua kuwa huku kuna nguvu kubwa ya ushawishi,wanabadilisha ID kila siku na kutuchanganyia habari.DR SLAA FOR PRESEDENT.
 
1. Kuamini kila linalosemwa kuhusu Chadema linatoka Lumumba ni akili ya mpuuzi.
2. Dr Silaa kugombea na hata kuwa Rais si lazima awe katibu Mkuu wa chama.
Watu ndani ya chama wanaamini kuna hitajika mabadiliko ya mwenendo wa chama (rejuvination). Wanamwona Dr Silaa kasi yake na mfumo wa siasa unahitaji mabadiliko.
Tujifunze kwa Dr Kiize Besigye hapo Uganda pamoja na harakati zake za kidemokrasia kashauri na kakubali kukaa pembeni kwenye uongozi wa chama.

ZZK ni aina ya kiongozi anayeendelea kuhitajika ndani ya Chadema pamoja na tofauti zake na chuki zenu kwake ndio maana duru mbalimbali zinamwona nafasi ya unaibu itambana kuleta madhara (kama yapo) dhidi ya chama.

Kubali kataa watu ndani ya chadema wanautazama uchaguzi 2013, lazima kujipanga.
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Mwaka 2013 Chadema ibadilike kutoka chama cha kichaga na kikatoliki sasa kiwe chama cha Watanzania,kipate sura ya Kitaifa!
 
mbayaaa

Senior Member
Oct 17, 2012
132
195
Ninauhakika hiyo POST imetoka LUMUMBA,ukiisoma ina maana moja tu ya kumtoa Dr slaa nje ya ulingo wa siasa wakati yeye ndiye anayeang'aa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote wa upinzani na hata ndani ya chadema..Dr slaa anakubalika kuchukuwa cheo chochote ndani ya chadema na nchi.CCM bwana wanamuogopa sana Dr slaa kiukweli ukiangalia ndani ya ccm hakuna mtu yeyote atakaye mtoa Dr slaa kwenye mbio za kuingia Ikulu..ndiyo maana kila aina ya mbinu inatumika kumuweka Dr slaa mbali na mbiyo hizo za Ikulu.ngoja tuone ni mda tu utakao sema Dr slaa njia ya kuingia ikulu inaonekana kuwa wazi kwake,sababu ndani ya ccm kwakweli hakuna kiongozi yeyote anayeaminiwa na Watanzania wengi kulinganisha na Dr slaa.
Angalia mleta mada anakwambia ZZK haaminiki kwenye nafasi ya katibu mkuu lakini anaaminika kwenye nafasi ya N/katibu mkuu,why??? nawaombeni wanamageuzi wa kweli tukomae sana huku kwenye mitandao hawa jamaa wameshajua kuwa huku kuna nguvu kubwa ya ushawishi,wanabadilisha ID kila siku na kutuchanganyia habari.DR SLAA FOR PRESEDENT.
:target:HATA MIMI MILIPOKUWA NASOMA THREAD YA MLETA THREAD NIMENUSA HARUFU YA LUMUMBA KWANI HATA HUKO KWENYE KIKAO CHA KAMATI KUU YA CDM HICHO KITU HAKIKUWEMO HATA KWENYE MENGINEYO. NAFIKIRI LENGERI AMUAMASISHE NAPE KUSOMA MADA YAKE ILI HATIMAE ATIE CHAKE MFUKONI KWAN AMESHAINGIZA CKU.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom