Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

haya ni maneno ya wazee wangu jana katika kikao cha rasimu ya gesi wakisema kwa pamoja hawtaki gesi iende dar ,ila umeme upelekwwe kwa nguzo katika grid ya taifa
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Kwakuwa aliyetoa hoja kuwa waziri mkuu Pinda alilidanganya bunge kuhusu mgogoro uliosababisha mauaji ya wananchi pamoja na mkenya mmoja amerudishwa bungeni rasmi baada kushinda rufaa kwenye...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
namuona kwa mbali katibu mkuu wa cdm w.slaa akifafanua maana ya operation mbalimbali za cdm
2 Reactions
142 Replies
12K Views
Ben Saanane, Habib Nchange, Juliana Shonza, Mwampamba, Exaud Mamuya, Gwakisa, Sanga na Zitto ZK Nimejitahidi sana kupitia post zilizowekwa humu jukwaani, kwa mtazamo wangu hawa vijana hapo juu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
KITAIFA Posted Ijumaa,Decemba21 2012 saa 10:58 AM KWA UFUPI KATIBU mkuu wa Chadema, Dk Willbroad Slaa amesema chama hicho kinasubiri kupokea taarifa ya mgogoro unaofukuta ndani ya chama...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waziri wa Maliasili naUtalii Kagasheki wakiwa wameshikilia jezi jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kurasa za mbele za magazeti ya Nipashe, the guardian,Mwananchi na tanzania daima yaonesha umati wa watu katika mkutano wa kampeni ya slaa moshi. Bila shaka mafisadi watayanunua yote ili...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
KWELI tunaweza kukilaumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapoamua kuanzisha na kuendeleza mashambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)? Kweli tushangazwe na vijana...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Viongozi wa CHADEMA ( kamanda Mbowe, Lema, Slaa, Heche, Mnyika na wengineo ni lini operation M4C itatua Rorya? maana ni jimbo linalohitaji ukombozi wa kifikra na kiuchumi.
0 Reactions
4 Replies
849 Views
Wakubwa hizi news nimeziona muda huu. Nikashituka kidogo sikuamini kwamba kuna mwandishi wa Tanzania anaweza kuja na mawazo haya. Nilidhani ni redet kama kawaida kumbe ni daily news wameitoa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Kufuatia ushindi wa kimbunga wa mbunge Godbless Lema leo hapa Dsm,ninatamani sana kujua kesho haya magazeti yetu ya chama yataandikaje heading kuhusu habari hii ambayo ni kama pigo kwa sera za chama.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
WanaJF Ninaendelea kusikitishwa na vijana wasaliti wa CHADEMA ambao wameamua kukiua chama. Ben Saanane na wenzake sioni jema wanalotaka kueleza umma wa watanzania. Na kama ni maigizo, basi hawa...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Hukumu ya rufaa yako ya kupinga kuvuliwa Ubunge ni kesho pale Mahakama ya Rufani ya Tanzania. Wewe ni Kamanda makini,mjenzi wa hoja,mpambanaji,mpigania chama,huna makundi,huongozi kakikundi cha...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwa maovu ya CCM hivi sasa imepoteza uhalali wa kuongoza mfano ufisadi,manyanyaso kwa wananchi , kuuza rasilimali za nchi kwa wazungu na kukuza makundi. Vile vile CHADEMA haina wema wa kutawala...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Hivi karibuni kulifanyika mabadiliko ndani ya Chadema, mabadiliko yaliyoishia kumwondoa Bwana Erasto Tumbo katika nafasi yake ya ukurugenzi wa Habari. Nafasi hii ni nyetisana. Lakini pia Bwana...
67 Reactions
699 Replies
45K Views
Nape ni kijana ambaye mara nyingi kama siyo zote huwa mropokaji na hana khoja ya tija ni mtazamo ambao ni sahihi kabisa. Nape alipodai viongozi wengi wa cdm wana kadi za ccm na huzilipia michango...
9 Reactions
193 Replies
14K Views
  • Poll Poll
Wakaazi na wenyeji wa mji wa Arusha nchi yetu iko kwenye matayarisho ya uchaguzi mkuu October 2010.Nimeona ni vyema na haki tukawajadili wagombea ubunge wa vyama vitatu ambavyo nini hakika...
1 Reactions
439 Replies
50K Views
Dhima ya Mkutano ilikuwa nzuri sana maana mkutano ulifanikiwa kukusanya wakazi wa kutosha wa mtwara mjini. Yafuatayo kwa mujibu wangu yalikuwa mapungufu ya mkutano mzima. 1. Uwasilishaji wa...
1 Reactions
2 Replies
896 Views
wanajamvi, Jana nimemsikia Dr magufuli ITV akisema Kuanzia mwakani,hakuna hela kupelekwa katika halmashauri yoyote isiyokuwa na mhandisi aliyesajiriwa na Engineers Registration board,niliona ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom