Seikali ya awamu ya tatu na Mbio za URAIS 2015 kupitia CCM

Nani kati ya hawa anafaa kuwa rais tumuunge mkono?

 • Sumaye

  Votes: 0 0.0%
 • Lowassa

  Votes: 0 0.0%
 • Membe

  Votes: 0 0.0%
 • Magufuri

  Votes: 1 33.3%
 • Mwakyembe

  Votes: 0 0.0%
 • Mwandosya

  Votes: 0 0.0%
 • Kigoda

  Votes: 1 33.3%
 • AshaRose Migiro

  Votes: 0 0.0%
 • Wasira

  Votes: 0 0.0%
 • Nchimbi

  Votes: 0 0.0%
 • Hussein Mwinyi

  Votes: 0 0.0%
 • Shamsi Vuai Nahodha

  Votes: 0 0.0%
 • Samuel Sita

  Votes: 1 33.3%

 • Total voters
  3

mtalihenge

New Member
Dec 20, 2012
1
0
Serikali ya awamu ya tatu ya Rais Benjamin Mkapa ilisifika sana kwa kudhibiti matumizi mabaya ya Serikali, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha jambo lilisaidia kuimarisha uchumi, Ukimuondoa Rais Mkapa aliyekua kiongozi mkuu wa nchi; kulikua na timu imara sana katika kufanikisha mafanikio hayo yanayotajwa wakiongozwa na aliyekua waziri mkuu kwa kipindi chote cha utawala wa serikali ya awamu ya tatu Mh. Fredrick Sumaye, Pia mawaziri Edward Lowassa, Dr. Abdallah Kigoda, Dr. Asha-Rose Migiro, Dr. John Magufuli, Dr. Hussein Mwinyi, Prof. Mark Mwandosya, Shamsi Vuai Nahodha, Samuel Sita, Bernad Membe, Steven Wassira, Dr. Nchimbi, Dr. Harrison Mwakyembe na wengine wengi kwa nafasi zao. Leo watajwa hapo juu wakiongozwa na Mh. Fredrick Sumaye wanasubiri muda ufike wachukue form za kugombea URAIS wa Tanzania! Nani rais wako kati ya hawa? Niambie kwa nini nimuunge mkono..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom