Makamu Mwenyekiti Bavicha umemsikia Shibuda?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Wakati jamii ya wanamabadiliko ikiendelea kujitahidi kusahau uchafu na madudu yaliyozungumzwa na John Shibuda juzijuzi hapa kwenye kikao cha nec cha CCM akikihusisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ukabila na ukanda na utetezi wa hovyo kabisa na unaofedhehesha Baraza la Vijana na CHADEMA kwa ujumla alioutoa Makamu Mwenyekiti Bavicha Juliana Shonza, mbunge huyo ameibuka tena na kashfa nyingine akiwaita wapinzani kuwa ni machokoraa akidai hawana malezi ya kisiasa.

Haya anayasema katika kipindi hiki ambacho upinzani nchini umeonyesha kukomaa na kujipanga vyema kutwaa dola.kadhalikka haya anayasema wakati chama chake cha CHADEMA kinaendelea na oparesheni za kujijenga mkioani. Kwa mantiki hiyo Shibuda anawatusi wapinzani wote nchini na kuwaita machokoraa akiwamo Juliana Shonza aliyeibuka bila hoja wala mashiko kumtetea mtu huyu mpuuzi.

Najuliza kama Juliana yupo na amedhalilishwa kama alivyodai shibuda kadhalilishwa na heche na yeye leo amedhalilishwa kwa kuitwa choko angeibuka tena na kutoa tamko kaili la kulaani matusi ya shibuda.
 
Mshahara jamani safari hii wamenikata mpaka aibu nitatoboza kweli.Ahh kumbe mambo ya shibuda wacha nikanunue dagaa
 
huyo dada,ki ukweli mie sikuwahi kumjua,ila nilimuona jangwani akiwa kama mdudu aliyetengwa actually hakuwa na amani,and all the time alikuwa mwenyewemwenyewe kitu ambacho kwa makamanda sio cha kawaida.
naamin atapata watu wa kumnunua ili aendelee na kauli zake za kifisadi hizo,kwanza namshangaa sana huyo mdada,kama anataka kujulikana si afanye kazi zenye matunda kwa chama ili tumuone,yaweza kuwa ni partina wa shibuda kabissssa,la sivyo kauli ya mwenyekiti itafanya kazi!
 
Kwenye bold, kama kauli yake ilikuwa ni ya bahati mbaya lazima atakuwa anajuta, maana hiyo ni psychological (tosha) torture kwake hasa ikizingatiwa ni mwanamke.
 
alikuwaga hawala yangu nikamtema ni kiburi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, nilishanga kuwa kiongoziiiiiii.....
 
Haya ndiyo matokeo ya kuwa na mabwana magamba na wewe upo upinzani, yule Shosa hopeless kabisq nq hili ateteeee.
 
Jamani achane kudhalilisha Jinsia ya Kike ,kama yeye ana tatizo kama kiongozi basi asulubiwe kama kiongozi hayo mambo mengine musitudhalilishe wanawake ni ya kwake binafsi ana bwana hana anajiuza hajiuzi ana kiburi hana ni mambo yake binafsi sisi tuangalie hali halisi ya kiuongozi je alifanya vyema nitasema alikosea nadhani kupitia hasira ya wananchi atajua anatakiwa kuwa mfano kama kiongozi
 
CHADEMA its time to join our hands and stand together. Huu mkanganyiko juu ya Shibuda usitufanye tukakosa uvumilivu na tukajikuta tunavuana nguo hadharani. Bila kujali kama huyo dada amekosea nashauri aendelee kuheshimiwa huku akielekezwa kwa staha. Tukimdhalilisha kwa kumuita kilaza au hajaolewa kumbukeni kuwa tunajidhalilisha wenyewe kama chama.. Tafakari
 
Haka kabinti kalikuwa udsm pale 1st year wakati namaliza,nikashangaa sana kusikia eti naye ni kiongozi cdm,inabidi cdm wawe makini sana na hawa vihiyo wa vyuoni.
 
Mapambano lazima yashinde hitirafu za mipango yetu kabla hatujashinda; alitaka kupima umma wenye nguvu na nguvu ya umma kipi kinatangulia.
 
huyo dada,ki ukweli mie sikuwahi kumjua,ila nilimuona jangwani akiwa kama mdudu aliyetengwa actually hakuwa na amani,and all the time alikuwa mwenyewemwenyewe kitu ambacho kwa makamanda sio cha kawaida.
naamin atapata watu wa kumnunua ili aendelee na kauli zake za kifisadi hizo,kwanza namshangaa sana huyo mdada,kama anataka kujulikana si afanye kazi zenye matunda kwa chama ili tumuone,yaweza kuwa ni partina wa shibuda kabissssa,la sivyo kauli ya mwenyekiti itafanya kazi!
MBONA HAKUTAMBULISHWA TUMUONE, daa hii si haki ilitakiwa wamtambulishe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom