Ofisi ya MBUNGE Taabani

Ofisi ya MBUNGE Taabani

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803





​

Ofisi inayotumiwa na Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Said Arfi pamoja na Mbunge wa viti maalumumkoa wa Katavi Anastella Mallack ikiwa katika hari mbaya ya kujaa maji katika eneo la mbele ya ofisi kufuatia mvua za masika hari inayo wafanya wabunge hao kufanyia shughuli zao za kiofisi barabarani na nyumbani.


​
PICHA NA WALTER MGULUCHUMA​
 
Tunasubiri wahisani waje watutengenezee miundombinu ya kuweza kuingia hapo ofisini bila shida na itakuwa ni moja ya mafanikio ya serikali yetu.
 
Ofisi nzuri kabisa. Maji yatakauka tu. Huwezi kuzuia mvua
 
Back
Top Bottom