Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina shaka yoyote kuhusu vyeti vyake vya darasani,ila wasiwasi mkubwa ni unafiki/kutokujiamini kulikopitiliza kunakompelekea kujipendekeza kwa kiwango cha juu sana kwa watawala na in a way kuwa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Na Mwinyi Sadallah 30th December 2012 Wananchi wa Zanzibar wataanza kuchangia maoni ya miswada ya sheria kabla ya kujadiliwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi (BLW) na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijuhi kama hili wana CHADEMA mnalifahamu ni dhihiri na kila mmoja Arusha anafahamu huwezi kuwatenganisha Ole Millya,Bananga na Lowassa hata siku moja na hii mpaka kesho kuamka na kulala na kula...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
*Makundi yaanza kujipanga mjini Dodoma *Wapambe waitwa kutathmini hali ya hewa Na Mwandishi Wetu, Dodoma KATIKA hatua inayoonesha kuwa mbio za kuwania urais mwaka 2015 zimeanza, makundi ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana JF Huku tukitafakari yaliyojiri 2012, napenda kuwaasa wanasiasa (najua wapo wengi tu humu) kujitathimini na kuangalia mipango ipi ya kisiasa waliyoifanya imeleta TIJA na ipi imeendelea...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Heri ya Mwaka Mpya!! Usiku wa kuamkia Jana mtu mmoja aliyejitambulisha kuwa ni ofisa wa Usalama wa Taifa alitumia misuli kulazimisha kuingia Muhimbili (Taasisi ya Mifupa) ili aweze kuonana na...
24 Reactions
118 Replies
11K Views
Mwanasheria wa Chadema Mabere Marando ameieleza Clouds Tv muda huu kuwa katika uchunguzi uliofanywa wamegundua kuna teknolojia ambayo mtu anaweza kukutumia msg kwa namba yoyote na ikaonesha kuwa...
8 Reactions
181 Replies
16K Views
Kwa kauli za Mwigulu, JK, Nape, Kinana ni lazima CDM ishinde chaguzi zote za udiwani, ubunge na Uraisi wa 2015 kwa knockout. Lazima tufanye kazi wote kuanzia sasa bila kulala. Wote lazima tuamini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete jana alitoa salamu zake za mwaka mpya kwa kuzungumzia mambo mbalimbali ya kitaifa, huku akibainisha kuwa Bunge la Katiba, litakaa Novemba mwaka huu kupitisha mapendekezo ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar Rais Jakaya Kikwete atazindua matokeo ya sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi August, 2012. Nimeona nifike mwenyewe pasipo kupenda baada ya...
8 Reactions
320 Replies
45K Views
Mwaka 2013 umefika. Mwishoni mwa mwaka 2012,vyama hivi viwili pinzani kuliko vyote hapa nchini Tanzania vilituahidi.Viliahidi kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge wa Nyamagana na Mkurugenzi wa mambo ya nje wa Chadema Ezekiah Wenje amesema kwamba chama chake hakina mgogoro wowote. Akihutubia umati wa watu katika mkutano mkubwa wa hadhara wa wafuasi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemshukia Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu Sugu kikimtaka asijisumbue kuchukua fomu ya kutetea nafasi hiyo mwaka 2015 kwasababu anachezea ubunge...
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Jumanne, Januari 01, 2013 07:37 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam *Yamuonya Spika Makinda CHAMA cha...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau: Jenerali tena -- afunga mwaka kwa makala hii murua. Ni rahisi kutambua ni akina nani anaowananga hapa, mtoto wangu wa miaka 10 aweza kujua! ________________________________ We ate and...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Ndugu yangu Nguruvi alikuwa anamjibu Ndugu Bongolander kwenye ile mada nyingine na maneno yake yamenigusa mno na ninaamini pamoja na juhudi za kisiasa na kihoja za kuwachochea Wazanzibar...
17 Reactions
81 Replies
7K Views
Wana JF, Baada ya kigugumizi kingi kinachopata CHADEMA kwa sasa, nidhahiri wengi wetu ambao tulikuwa tunadhani inaweza kututoa shimoni tumekata tamaa baada ya revelation mbalimbali...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Katika mkutano uliyofanyika Arusha maeneo ya kilombero, Nilimsikia Mh:Lema akihutubia aliongea mambo mengi sana yenye tija kwa maslahi ya wananchi wote bila kujali itikadi ya vyama,Wakati...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo katika kipindi cha taarifa ya habari Channel 10 saa moja usiku nilimuona Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar esalaam akiwahutubia wanaCCM wenzake kwa kusifia sekondari za kata. Alisema ni shule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid Mohammed, alisema Zanzibar itaingia katika machafuko makubwa endapo hakutafanyika jitihada za haraka kukomesha chuki za kidini zinapandikizwa miongoni mwa raia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom