Wanajamii,
Baada ya wakazi wa Mtwara kuandamana siku ya tarehe 27-12-2012. Hoja mbali mbali zimekua zikitolewa kuhusiana na mpango wa Serikali kusafirisha gas kutoka mtwra kwenda Dar es salaam...
BAVICHA kuwatimua viongozi wake MTANZANIA, Alhamisi, Desemba 27, 2012 04:24 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia...
Ndugu wadau hebu tujikumbushe changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika midani za siasa za Tanzania:
a) Chama tawala - CCM
Kiliendelea kuisimamia serikali katika kutekeleza ilani yake ya...
CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi, kimevunja kambi iliyokuwa inategemewa na Chama Cha Mapinduzi ya Kijiji Cha Mkundi, kata ya Makata baada ya wanachama wote wa tawi hilo...
HATUA ya mwanazuoni wa siku nyingi nchini, Profesa Issa Shivji kupinga hukumu ya Mahakama ya Rufani Tanzania iliyomrejeshea ubunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema imemtia matatani na baadhi ya watu...
Nape tunaomba utueleze kadi za hao maafisa wa jeshi waliomaliza kufanya kazi( U-DC na RC) za chama(CCM) na kurudi jeshini ziko wapi?
Monday, December 31, 2012
Na : Nuzulack Dausen
JESHI la...
BAADHI ya vigogo wa kisiasa hawatasahau yaliyowapata mwaka jana kutokana na mabadiliko makubwa yaliyoigusa medani hiyo na kusababisha kuanguka ama kwa kura au kungolewa katika nafasi walizokuwa...
na Mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amefanya uteuzi wa mwenyekiti na wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TASAF kwa kipindi cha miaka mitatu.
Taarifa iliyotolewa jana na Ofisi ya Katibu...
Mwigulu Nchemba, naibu katibu mkuu wa CCM,amefunga mwaka kwa matusi ya nguoni kwa chama cha demokrasia na maendeleo na viongozi wake waandamizi.
yote nayaweka hapa ili naye kwa kuwa yumo humu aje...
Mwaka mpya 2013 utakuwa ni mwaka wa kujiimarisha zaidi kwa CCM ambacho ni chama kinachokubalika zaidi na umma wa watz. Mwaka huu ni mwaka wa kuhakikisha kuwa wana ccm wote tutaimarisha chama chetu...
Katika hali ya kushangaza, jeshi la Police mkoani Tabora limewatorosha askari wake waliofanya mauaji tarehe 29 mwezi wa pili mwaka huu wa 2012 na kuwahamishia mikoa mingine.
JINSI TUKIO LILIVYO...
Wana jf, nadhani ni wazima wa afya na mungu atawajalia kuona mwaka mpya 2013! Wakuu nasikia kamanda Tundu Lissu bado yupo Songea, kusini mwa Tanzania akiwazibua masikio wananchi.
Na leo...
Katika pitapita zangu nimefanikiwa kukutana na hii link(M4C ndani ya Milton Keynes - YouTube)-(HASA DAKIKA YA 3:52 NA 37:12) ambapo aliyekuwa mwenyekiti wa CDM UK, bwana Chriss Lukosi alikuwa...
Kuna watu wanasema kuwa Chadema inakosoa tu, hawajawahi kusikia sera zake. Inawezekana kuwa hawajajipa nafasi kuhudhuria mikutano ya Chadema na kusoma ilani ya uchaguzi ya 2010-2015.
Kwa kuwa leo...
Na Mwandishi wetu
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, Zakia Meghji (mbunge wa kuteuliwa) na Lameck Airo (CCM) ni miongoni mwa wabunge ambao wamechangia na kuuliza maswali machache bungeni tangu...
Msajili wa Vyama vya siasa Nchini Jaji John Tendwa, amesema ipo haja ya vyama vya siasa kuwekewa viwango vya madaraka ili kujua kama bado vinaungwa mkono au havitakiwi kwa kuangalia matokeo ya...
Wadau nimeona this kitu kwa michuzi, naona wenzetu uko nyumbani mnahamia digital kweli kweli
Gracias
MICHUZI: ANDROID WAJA NA APPLICATION YA KUPERUZI HABARI ZA TANZANIA
WIKI moja tangu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, atangaze matokeo ya darasa la saba na kudai ufaulu umeongezeka, baadhi ya walimu na wazazi wamefichua ‘madudu'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.