Mbunge aliejiudhuru wa jimbo la Igunga Rostam Azizi,inasemekana amepenya kwenye medani za siasa za kenya na kuanza kwa kumuunga Mkono Raila Odinga.
Source@ gazeti la fahamu dira ya...
Kama wewe kweli una nia ya kutusaidia kama watanzania wenzako,anza na hili Bunge lijalo. Bunge likianza tu,omba Mwongozo wa Spika na uwataje Waficha Mabilioni Uswisi na kwingineko ulikodai kwenye...
Malumbano kati ya wananchi wa Mtwara na Serikali kuhusu matumizi bora ya utajiri wa nchi yameendelea kwa takribani wiki moja sasa. Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Waziri wa Nishati na Madini...
Kwa habari nilizozipata jamani kunachama kipya ndani ya CWT kimeundwa chenye jina la (maafisa elimu) na makao yakemakuu yapo mkoa wa Mbeya. chama hiki hakijawa rasmi kwa sababu inasemekanamsajiri...
Kusafiriisha mizigo mikubwa /mizito kwa njia ya barabara ni gharama kubwa ukilinganisha na njia nyingine za usafirishaji kama vile Reli na Maji. Barabara itahitajika kufanya matengenezo ya mara...
MTWARA hawajasema wanataka wapeleke vikapu, vidumu na makopo wawekewe gesi.
Hapana!
Wanasema wanataka kuona utajiri wa gesi ukionekana kwenye nyuso zao; Kwenye miili yao - kwenye afya zao na...
Kwanza napenda kuanza kwa kuwapongeza watu wanaoishi mikoa ya kusini kwa mwamko waliouonyesha katika kudai haki zao za msingi. Napenda kuwatia moyo sana kwani tanzania tunayoitaka iko karibuni...
Suala la Rais wa nchi yetu kutuma sms kwenye kupitia mitandao ya simu kutaarifu matokea ya sensa wakati kuna media za taifa kama tbc na magazeti limenistua na kunihuzunisha sana.
Sidhani kama...
Tatizo letu sisi vijana ni kukubali kutumiwa bila kuona adhari na malengo ya wanaotutumia.jussa nimekuwa nikimfuatilia maneno na vitendo vyake ni dhahiri kuwa yeye ni kati ya wanasiasa uchwara...
Gazeti la Mwananchi limetoa habari ambayo ni tofauti kabisa na Maudhui yake.
Habari hiyo inasema CHADEMA SASA VIPANDE VIWILI kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kumtangaza Dr Slaa...
Under the peach arches of Al-Noor charitable agency for the needy just outside Stone Town in Zanzibar, a 24-hour Islamic radio station broadcasts religious guidance.
Female tourists should...
Posted on June 10, 2012 by zanzibariyetu
Nobody in his right mind would condone the torching of churches and shops in Zanzibar last weekend. But it is a great shame that so many, including some...
Edward Lowassa amealika wanyeviti wa CCM wa mikoa 27 kwenye sherehe ya kupokea mwaka mpya.Hiyo ni kudhiirisha yuko kwenye kampeni ya kuingia ikulu 2015 kupitia CCM.
Chanzo mi mwenyewe ntakuwepo
Wed, Jan 2nd, 2013
Headlines / Tanzania |
"Quite frankly, for the first time, our country was pushed towards a profound division of Tanzanians, and even civil war, for religious affiliation,"...
Wasalaam JF!
Mwaka naona twafunga na kuanza, naomba kuufunga na kuanza kwa mada moto moto..
Jamani niko kusini kwa muda sasa nikiangaika na maisha, lakini kila nikipita katika kona za miji hii...
Mh Zitto alishajibu shutuma za kina saa8 na wenzake siku nyingi sana kama ifuatavyo:
1) Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya CHADEMA? Kama si kweli unadhani kwanini watu...
babu yenu nimezeeka sana na kumbukumbu zangu zinazidi kudorora.
Haya wajukuu zangu mliopo jukwaani hebu nipeni elimu ya mambo haya mawili,niambieni tofauti zake na baadae nielezeni kipi...
Habari zenu wanaJF,
Mara nyingi nimekuwa nikipitwa na hotuba za kila mwisho wa mwezi za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MHE. Jakaya Mrisho Kikwete tofauti na kipindi cha Mkapa ambapo...
Wadau wote katika hili hawa ndg zetu CCM naona kama vile wana njaa sana na uroho mkubwa sana wa madaraka kila kukicha mate yanazidi kuwatoka wakiangalia madini gesi mashirika makubwa ya umma...
Serikali ya MAGAMBA-CCM kupitia wizara zake imeamua kutangaza juhudi na mambo mbalimbali yaliyofanywa na serikali hasa katika kipindi cha Rais Jakaya Kikwete. Si vibaya, hata kidogo, ni jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.