CCM,CHADEMA mwaka ndio huu sasa

CCM,CHADEMA mwaka ndio huu sasa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Mwaka 2013 umefika. Mwishoni mwa mwaka 2012,vyama hivi viwili pinzani kuliko vyote hapa nchini Tanzania vilituahidi.Viliahidi kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania katika kujenga uelewa,kukuza demokrasia na kushinikizana hapa na pale;hili na lile.

CHADEMA inatembea na 'Nguvu ya Umma' na CCM imeapa kutembea na 'Nguvu ya Mungu'. Kimsingi,mwaka umeshafika. Tunawasubiri mtupe ratiba zenu tuwafuatilie.Tutamjua mkweli na mwenye nia njema ya kumkomboa mtanzania anayesawajika kwa umaskini....mtanzania 'choka mbaya'.

Lakini,Walatini walisema 'vox populi,vox dei' wakimaanisha 'sauti ya watu(umma) ni sauti ya Mungu'. Si kweli kuwa Nguvu ya Umma ni Nguvu ya Mungu? Ina maana CCM wameiga motto wa CHADEMA? Watatuambia mikutanoni. Karibuni ulingoni CCM na CHADEMA...
 
Mwaka 2013 umefika. Mwishoni mwa mwaka 2012,vyama hivi viwili pinzani kuliko hapa nchini Tanzania vilituahidi.Viliahidi kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania katika kujenga uelewa,kukuza demokrasia na kushinikizana hapa na pale;hili na lile.

CHADEMA inatembea na 'Nguvu ya Umma' na CCM imeapa kutembea na 'Nguvu ya Mungu'. Kimsingi,mwaka umeshafika. Tunawasubiri mtupe ratiba zenu tuwafuatilie.Tutamjua mkweli na mwenye nia njema njema ya kumkomboa mtanzania anayesawajika kwa umaskini....mtanzania 'choka mbaya'.

Lakini,Walatini walisema 'vox populi,vox dei' wakimaanisha 'sauti ya watu(umma) ni sauti ya Mungu'. Si kweli kuwa Nguvu ya Umma ni Nguvu ya Mungu? Ina maana CCM wameiga motto wa CHADEMA? Watatuambia mikutanoni. Karibuni ulingoni CCM na CHADEMA...
sasa wewe ushasema wanaosema sauti ya umma ni sauti ya mungu ni walatini, halafu unasema ina maana ccm wameiga motto wa chadema! kwani ccm ni walatini?aliekuambia ccm wanafuata falsafa za kilatini ni nani?hata hivyo hapa wewe umetafsiri umma = na watu,sasa kwa kuwa ccm nao ni watu,katika hali ya kawaida lazima oparation yeyote watakayoifanya iwe inalenga watu.
 
Tuatajua mambo yakianza Mkuu.Punguza jazba
 
Back
Top Bottom