Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Wanajamvi, pamoja na juhudi za kumfifisha mh zitto bado nuru yake imeendelea kung'ara na ameendelea kuwa mtetezi wa wanyonge bila kujali rangi wala matabaka yetu." Sakata la ugunduzi wa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Natumia utanzania wangu kutoa rai kwa uongozi wa CHADEMA makao makuu, huu mwaka waje na mbinu zingine zenye kuleta tija kwa watanzania; waachane na mbinu ya kutumia maandamano kama silaha ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ARUSHA TUTAENDELEA KUWA KIELELEZO CHA MABADILIKO YA KWELI 2013 – LEMA Leo ni siku nyingine ya mwaka mwingine 2013 , ambao ni vyema kwanza nikawatakia Watu wote wa Jimbo langu la Arusha Heri ya...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
kaka Yahya hivi ulitumia kigezo gani kumualika huyu Makonda maana nadhani hafanyi constuctive arguments zaidi ya ushabiki tu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ifuatayo ni orodha ya watanzania 100 waliovuma zaidi mwaka 2012, kulingana na utafiti maalum uliofanywa na NIPASHE kwa kuangalia majina ya Watanzania yaliyoripotiwa zaidi na vyombo vya habari vya...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wandugu, Barua ya wazi aliyopelekewa Mwanakijiji na Wazanzibari ni hii hapa chini kama ilivyotoka huko Zanzibar Ni Kwetu leo...
14 Reactions
104 Replies
9K Views
Taarifa za kuaminika ni kwamba pamoja na serikali ya Jk kutoa pesa mapema za kujikimu, Mpaka sasa Tangu chuo Kifungue Mwaka Jana zaidi ya wanafunzi 1500 hajapata sitahiki zao. Kinacho shangaza...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya, nimepata habari kuwa kamanda Lissu na mbunge machachari wa Singida mashariki (CHADEMA) atahutubia leo mkutano wa hadhara hapo Songea mjini katikati ya mjini kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yani, halmashauri ya wilaya ya Urambo ina madiwani hovyo kabisa, wamemnunulia Mkurugenzi wa halmashauri gari GX V8 wakati madawati, vitabu, maji katika mji wa Urambo hakuna. Inabidi katika katiba...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi nakumbuka wakati wa mchakato wa Urais 2010 wakati kuna viongozi na makada mbalimbali wa CCM akiwemo SHIBUDA wakitangaza kutaka kuchukua form ya Urais kushindana na Kikwete, aliyekuwa Katibu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM WAMEAMUA KUUANZA MWAKA HUU KWA KASI KUELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YAO YA UCHAGUZI. Mwaka jana walilaumiwa kuwatumia watumishi wa umma (ambao kimsingi si wanasiasa) kwenda kujibu au kutoa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Raisi kikwte amekosea.Viongozi wa dini na wafuasi wao,viongozi wa siasa na wafuasi wao ndio watanzania wenyewe.Anaposema watu hawa wasiwapoteze watanzania,hajui kama dini zote nizawatanzania,vyama...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
WATU wanaoaminika kuwa wafuasi wa ccm wakiongozwa na mwenyekiti wa kitongoji cha Upendo,Andrea Mayese katika kata ya Mlangalini,wilayani Arumeru,wamevunja tawi la CHADEMA na kuongo'a mlingoti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
na Chalila Kibuda WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) amefanikiwa kuongeza mapato ya serikali yatokanayo na makusanyayo ya mrahaba kwenye uchimbaji na mauzo ya madini ya ujenzi mara 70...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amevunja ukimya na kuweka bayana kuwa hatagombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka 2015. Kwa kauli hiyo, Mbowe...
7 Reactions
573 Replies
36K Views
Tunamsubiri Zitto ya yy aje tumsikie ungana nasi live ,,MTATIRO CCM NDO WANAONGOZA KWA ILAGHAI,, ,,Nchemba jaman hana la kutuambia..Mtatiro anamkabili vizur sana jamaa {Mtatiro} yupo vizur...
1 Reactions
110 Replies
8K Views
Nachukua nafasi hii kuwatakia wote HERI NA MAFANIKIO KWA MWAKA 2013! 2012 yamepita mengi na inawezekana nimewaudhi kwa mengi NAOMBA MNISAMEHE, TUANZE VIZURI MWAKA 2013. MWAKA HUU UTUMIKE...
18 Reactions
95 Replies
7K Views
WASSIRA KAMA TYSON AANDAA KUUMIZA TAIFA AINGIE IKULU! Kama alivyofanya wajina wake Tyson kwa kumngáta sikio Evander katika mpambano wa 1997, Mzee Stephen Wassira, naye anajiandaa kutumia meno...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Wadai ameingilia Tume ya Katiba Na Josephat Isango na Happiness Mnale CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Rais Jakaya Kikwete kuingilia...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
UTANGULIZI Kutokana na mgomo wa madaktari uliotokea kati ya tarehe 23 na 29 mwezi juni 2012.Wizara iliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la madaktari Tanganyika ili lifanye uchunguzi kuhusu...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Back
Top Bottom