Lazima CHADEMA 2015 ishinde kwa knockout

Lazima CHADEMA 2015 ishinde kwa knockout

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
1,334
Reaction score
1,466
Kwa kauli za Mwigulu, JK, Nape, Kinana ni lazima CDM ishinde chaguzi zote za udiwani, ubunge na Uraisi wa 2015 kwa knockout.

Lazima tufanye kazi wote kuanzia sasa bila kulala. Wote lazima tuamini kuwa maendeleo ya Tanzania ni ya kila kaya kijiji, kata wilaya mkoa na taifa zima. Angalia ulipo angalia kazi yako hospitali yako barabara yako na wototo wko angalia vilivyo vibovu kwa miaka zaidi ya 35. Anayeharibu ni huyu aliyelewa madaraka na kujisahau.

Ukiwa ni mtu mwenye utu, unampenda Mungu unatamani watoto wako wawe na utu na lugha za staha na wanaopendwa na kuheshimiwa nchini lazima utachukia lugha za hadharani za Nape Nnauye, Lusinde, Mwigulu Nchemba nk Hutapenda hawa watu hata wasogelee shule za watoto wadogo kwani wanaakisi matusi na lugha chafu kutoka kwenye ndimi zao.

Kama unapenda ustaarabu huwezi kuipenda CCM
Kama unapenda maendeleo huwezi kuipoenda CCM
Kama unachukia rushwa huwezi kuipenda CCM
Kama unapenda elimu bora kwa kila mtanzania huwezi kuipenda CCM
Kama unapenda huduma bora za afya huwezi kuipenda CCM
Kama unapenda mishahara bora kwa kazi husika huwezi kuipenda CCM
Kama unachukia wizi na uhujumu wa mali ya umma huwezi kuipenda CCM
Kama unataka kuabudu kwa uhuru huwezi kuipenda CCM
Kama unachukia udini, ukabila na utengano huwezi kuipenda CCM
Kama unapenda mikataba itakoyonufaisha mtanzania huwezi kuipenda CCM
Kama unachukia sheria kwa mwenye fedha na masikini kuonewa huwezi kuipenda CCM
Kama unachukiwa kuporwa haki ya kura, sheria, kuishi, huiwezi kuipenda CCM


CCM ndio chanzo cha umasikini wa Mtanzania viongozi wake ni matajiri kwa jasho la wengi, wanagawana mali za nchi k

Njoo tuungane leo kuipumzisha madarakani njoo tujenge nchi yetu njoo tuwe wakala wa maendeleo kwa watanzania kutoka kwa wananchi.

Peoples power mpaka Ikulu 2015
Chadema ni yangu chadema ni yako njoo tuijenge
 
Conqur with you. Thanks mwaka huu huenda ukawa mwema naona watu wanafikiris kwa umakini sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom