Hakika katika kipindi cha kumekucha cha ITV leo wamenifungulia mwaka kwa kicheko sana sijui chama cha mafisadi kimemwokota wapi anasema vijana wamepewa nafasi asilimia 80! Hakika huyu bwama...
Itakumbukwa Chadema waliwafukuza madiwani wake watano waliokataa kutii maagizo kamati kuu ya kumtambua meya wa Arusha mwaka jana. Na hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa jiji madiwani walionekana...
Bandiko langu la kuanzia mwaka mpya litaanza na video hiyo hapo chini ambayo niliiweka jana kama kiburudisho cha kuaga mwaka. Hata hivyo baada ya kutazama video nikapata hisia ambazo zinahusu...
*Ni Sugu wa Mbeya Mjini, akimbia ukumbini
*DC asema adhabu yake ni kumpuuza tu
MKUTANO wa kutangaza matokeo ya darasa la saba Mkoa wa Mbeya, nusura yaingia doa, baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini...
na Angelica Sullusi, Mbeya
SIKU chache baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), kumtolea uvivu Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, akidai ana...
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amedaiwa kuficha ubadhirifu wa fedha za miradi mbalimbali ndani ya halmashauri ya Karatu wakati akijaribu kutatua mgogoro uliopo ndani ya chama hicho mjini...
Kuna habari zime zagaa kuwa wahasibu wa halimashauri wa wilaya ya korogwe wana shikiliwa na police baada ya njama za kuiba tsh 78 million za halimashauri kugonga mwamba,
Mwenye taarifa sahihi...
Nimesoma kwenye gazeti la Mtanzania leo, Majira na Tanzania Daima, na wenye link ya gazeti la mtanzania mtanisaidia kuliweka hapa, BAVICHA wameeleza kuunga mkono maandamano ya kupinga Gesi...
Nimesoma katika gazeti la Mwananchi leo, nikajikuta nasistushwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba, kwamba watumishi wengi wa umma wanatumia muda mwingi kazini kushabikia siasa hasa vyama vya...
UKIWA KIONGOZI WA KITAIFA UNAWAJBIKA KWA KILA OVU LISEMWALO JUU YAKO.rAIS oBAMA ALIPOAMBIWA SI RAIA WA usa alienda kwenye vyombo vya habar NA VIELELEZO VYAKE IKAWA MWISHO WA MCHEZO.MIM NAKATA...
Huyu kijana alitema cheche sana wakati anapata uwaziri sijamsikia tena akishughulikia zile kero za makampuni ya simu. Mwenye taarifa za utekelezaji wa mikwala yake anijuze. Au ilikuwa CCM style...
HABARI
Posted Jumanne,Januari1 2013 saa 8:2 AM
KWA UFUPI
Miongoni mwa matukio yaliyowatikisa wanasiasa ni hatua ya Rais Jakaya Kikwete kupangua Baraza la Mawaziri, kutenguliwa kwa baadhi ya...
Nadhani watu wajuvi wa masuala ya siasa mnatambua sasa kuwa siyo mtu anayependwa bali kusimamia agenda ambayo inakidhi matakwa ya umma ndiyo msingi wa kuwa upande wa umma na umma kuwa na wewe...
Kwanza nitangulize heri ya mwaka mpya kwa wanaJF wote na watembeleaje wote wa tovuti hii. Mungu ametuepushia mengi na tunaomba azidi kutuepushia. Pamoja na kusherekea na ndugu, jamaa, marafiki...
Dar is set for Ruhudji hydropower station
By WILFRED EDWIN
THE EAST AFRICAN
Saturday, August 30 2008 at 16:04
Plans by Tanzania to construct a 358 MW hydropower station at Ruhudji River...
Habari zenu wana JF
Leo nimeamua kutoa duku duku langu la kumpongeza mbunge wangu wa Iringa Mjini mheshimiwa mchungaji Peter Msigwa, kwa kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu jimboni Iringa...
Sunday, December 16, 2012
.Aondolewa viti mkutanoni
.Akusanya maoni amesimama
Hali ya kufanikisha ukusanyaji maoni ya Katiba Mpya visiwani Zanzibar, imezidi kuwa mbaya baada ya Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.