Sintaongeza neno hapa:
Published on 23 Mar 2012
Mkurugenzi wa Kampeni na Uchaguzi Msafiri Mtemelwa amewaonya Wananchi wa Njoro katika Kata ya Poli Wilayani Arumeru kuwa wasidanganyike na rushwa...
leo Kibaha kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA,kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara kiwanja cha mpira mail moja.
Nitawajuza hadi nukta kile kitakacho semwa na makamanda Mnyika na...
Mtu akichunguza kwa makini chanzo cha mivutano ya kidini inayoendelea hivi sasa baina ya waislamu na wakiristo, ataona ya kwamba inatokana na tafsiri potovu ya matukio muimu ya kihistoria. Hakuna...
Ni hivi leo tu, katika gazeti la habari la mwananchi kuna habari yenye kichwa ...''''bunge lakubali yaishe''' ukisoma habari yenyewe inaonesha kuwa dr kashililah amekiri eti kuwa watu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba tarehe 14 Februari 2013 maoni na mapendekezo ya CHADEMA juu ya muongozo uliotolewa na Tume ya Mabadiliko...
Ndugu zangu,
Kwenye vyombo vya habari juma hili, moja ya habari kubwa iliyochagizwa sana ni kitendo ch viongozi wa Chadema kutoa kwa wananchi, pale viwanja vya Mwembe Yanga, namba za simu ya...
Hivi ni kweli uzalendo wa nchi hujengwa kupitia JKT? Nikumbukavyo intake ya mwisho ya JKT ni 1993.Je wanaoitafuna Tanzania yetu kwa mikataba mibovu,rushwa kila kona,kuuza wanyama nje na watovu wa...
Happy Valentine wana JF wote! Kutokana na mapendekezo yaliyotolewa na katibu wa bunge Ndugu Thomas Kashilila akidai bunge inabidi lisirushwe live ikiwa ni mkakati wa kudhibiti fujo bungeni...
Kati ya hao viongozi watatu ni nani amekuwa kinara wa kuteua watendaji wa bovu na kushindwa kuwawajibisha pale wanopobainika kuvurunda?
Jambo hili limetuathiri sana kama taifa na ni vizuri...
Ule msemo wa wahenga usemao baniani mbaya kiatu chake dawa umendelea kujidhihirisha siku za hivi karibuni mara baada CCM kumpendekeza Dr. Salim Ahmed Salim kuteuliwa mjumbe wa Central Committee wa...
Jamani! ni nani anaeweza kufahamu ni wapi alipo naibu katibu wa CUF bara ndugu Julius Mtatiro? Kijana huyu aliepata kuchagiza sana katika siasa toka akiwa chuoni na baadae kujiunga na Chama cha...
Nimeshangaa kusoma kwamba Mwenyekiti Wa CHADEMA mheshimiwa Mbowe ni mmoja kati ya wabunge watakaojiunga JKT mwezi March mwaka huu.
Je ina maana hakupitia JKT miaka hiyo? Kama hakupita...
Mwandosya ni Waziri Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalum
-Bila shaka hii Wizara haina bajeti, Katibu Mkuu n.k
-Kama haina bajeti, na Mwandosya ndiye sole worker, mshahara anapewa kutoka...
Wadau nakumbuka Nape na Wasira walipata kunena kuwa ni muda si mrefu CDM itakufa, kwa mtizamo wangu naona wana watu ambao wanawatumia ndani ya CDM moja yao walikuwa Mwapamba na Juliana. Ila sasa...
Ndugu wanajanvi naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli za Dr Kashirila.
Ndani ya siku tatu bunge lilikuja na kauli mbili, awali likitangaza kusudio la kusitisha kurusha matangazo ya shughuli...
Nimefarijika sana na taarifa za chama changu CHADEMA kufuata muundo wenye sura ya majimbo. Kumbe ndani ya chama changu kulikuwa na watu wenye mawazo kama haya.
Hii ilikuwa kiu yangu ya muda...
Viongozi wengi wa CCM wanapenda sana kuita waandishi wa habari na kutoa matamko bila kuhojiwa.
Hata pale wanaporuhusu maswali basi unakuta waandishi wa habari wameandaliwa, wanapenda vipindi...
Katika Mjadala wa jana ITV kipima joto,. Mheshimiwa Tundu Lissu ameeleza wazi kuwa kiti hakijui Kanuni ama hakijui namna ya kuzitafsiri kanuni.
Akitolea mfano ulio hai wakati wa Bunge la 10...
Kwa kifupi,utakuta mtu anaongea kwa hasira kuwa yule kafanyiwa vile kwa sababu ya dini yake, tena mbaya zaidi unaweza utakuta wengi wao ama wanajifanya kujua dini au ni viongozi wa dini mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.