Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isyokuwa ya kawaida, baadhi ya wananchi wa mikoa hii wameonyesha dhairi kuwa CCM itapoteza viti vingi sana mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Tabora (Sukuma land) kutokana...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
SUALA la Muungano limeibuka karibu katika kila mkutano wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Mabadiliko ya Katiba,ambapo juzi askari Polisi Josephat Mwamunyange, alijitambulisha mbele ya mabosi wake, kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Waziri Mkuu Pinda ametua jijini Mwanza asubuhi hii. Sababu hasa za ujio wake bado sijazifahamu. Mwenye taarifa atujuze tafadhali. Je inawezekana kaja kwa sakata la kuchinja? Ngoja tusubiri!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CCM tawi la Africa Kusini Kelvini Nyamori amesema anaona aibu kuvaa sare za chama hicho kutokana na taswila halisi ya chama ilivyo kwa kwa sasa. "Naona aibu kabisa kuvaa sare zetu...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Jana sio leo ila leo inaweza kuwa mwendelezo wa kesho. Ni ukweli usiopingika kuwa wakati una macho. Cheo ni dhamana mliokabidhiwa na wananchi,basi timizeni majukumu yenu ipasavyo. Hali ilivyosasa...
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Wana JF nimezidi kupata mkanganyiko kuhusu taarifa aliyoitoa katibu wa bunge Dr. Kashilila, kwamba waandishi wa habari hawataruhusiwa kuingia bungeni na kamera zao ili kurusha moja kwa moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi wa mtaa wa loriko-maiputa kijiji cha KYUU tunaangamia.akiongea na mtoa habari hizi balozi wa kitongoji cha Loriko Bw.Lema "amesema eneo hilo ni mwaka wa tatu sasa hawapati mvua za kutosha...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ndiyo taarifa iliyosambazwa kwenye vyombo vya habari asubuhi na kwenye mitandao ya kijamii, tunasema habari ya mjini...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Lengo la makala hii fupi ni kuelezea ni kwa namna gani chama cha mapinduzi kilivyo wahafidhina linapkuja suala la mabadiliko. wanajua wazi kabisa kuwa tatizo liko wapi lakini hawataki kuamini kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inashangaza sana kwa chama cha mapinduzi kuanzisha personal attacks na kujisahau kuwa wana mengi waliyoahidi kwenye ilani yao ya uchaguzi na hawajatekeleza mpaka sasa!mpinzani kusimama na...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Katika Ibada ya Mazishi ya Askofu Thomas Laiser yaliyofanyika Ijumaa, Februari 15, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe alisema kauli ya mwisho ambayo Askofu Laiser...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) unafanya kikao chake cha kwanza cha Baraza Kuu la Umoja huo, ambapo ajenda mbalimbali zitajadiliwa ikiwemo tathmini juu ya Hali ya Vijana na Siasa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nawaona wanapita njia za morogoro mjini wakiimba huku daladala zimendikwa Ubungo Posta
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HAYA NDIO MATEKEO YA KUKIMBIA SHULE. * * * ***masikini CHADEMA** Nimesoma kwa mshangao sana hoja ya John Mnyika juu ya uamuzi wa CCM kusimamia ilani yake ya uchaguzi ambayo licha ya kuchaguliwa...
27 Reactions
307 Replies
29K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa muundo na utaratibu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba namna ya kuwapata wajumbe wa mabaraza utarudisha nyuma jitihada za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania ilikuwa ni nchi ambayo wote wakristo, waislam, wapagani, wabhuda nk waliishi kwa amani, lakini Ccm ikitumia Udini kama agenda kuu mwaka 2010 dhidi ya chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKITA) limesema kuwa katika muongozo wa Tume juu ya muundo na utaratibu wa kupata wajumbe wa mabaraza ya Katiba ya Wilaya na Asasi unamapungufu katika baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Familia ya Joseph Nyerere, imejitokeza na kusema haimtambui mtuhumiwa wa kesi ya mauaji, anayejitambulisha kwa jina la Makongoro Joseph Nyerere. Taarifa iliyotolewa na Nuru Nyerere-Inyangete, kwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge iliyopewa kazi ya kuchunguza mazingira yaliyochangia uvunjifu wa kanuni pamoja na wabunge waliohusika wiki iliyopita, ilitoa taarifa yake jana...
1 Reactions
115 Replies
14K Views
The rationale of setting up a 300 MW plant in Mtwara Though my conscious tells me implementing this project will be throwing our meager resources down the drain; for the sake of tranquility and...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom